Mtanzania mwenye duka Kila siku lazima:
Afungue duka mwenyewe.
Ahakikishe bidhaa zimefika.
Ahudumie wateja.
Ahakikishe wafanyakazi hawapotezi fedha.
Ahakikishe mauzo yanafanyika.
Afunge duka mwenyewe.
Akiumwa au akisafiri kwa wiki mbili, biashara inasafiri.