One person stabbed to death, another injured in Jubilee nominations in Pangani, Nairobi

Zurie

JF-Expert Member
Jul 6, 2014
2,002
5,534
Mtu mmoja amechomwa kisu na kufariki na mwingine kujeruhiwa baada ya ugomvi kuzuka baina ya makundi mawili pinzani eneo la Pangani Jijini Nairobi katika mchakato wa kupata wagombea wa Jubilee.

Marehemu alichomwa na kisu mara mbili, kifuani na mgongoni kabla ya kuamua kukimbia toka ktk hatari hiyo.

Hata hivyo hakuwa na bahati kwani aligongwa na daladala (matatu).

Polisi wanasema kuwa aliyejeruhiwa alianguka chini ktk ugomvi huo na alikimbizwa hospitali ya karibu akiwa na mahututi.

Pia walielezea chanzo cha ugomvi huo kuwa ni kikundi kimoja kubandika picha za mgombea wao juu ya picha za mgombea wa kundi jingine.

========

One person was Wednesday stabbed and killed while another one was injured in clashes between rival groups in Pangani area, Nairobi as Jubilee Party nominations started.

The deceased was stabbed twice in the chest and back before he ran away from the danger.

He was however hit by a speeding matatu near Pangani Girls flyover.

Police said that the injured man was rushed to a nearby hospital where he was admitted with serious wounds.

Police and witnesses said the fighting between the two groups started Wednesday at about 7 am. This was after one group supporting a Jubilee MP candidate in the area stumbled upon another one mounting posters on their candidate’s that had already been put up.

The area is in Starehe constituency.

Nairobi police boss Japheth Koome said the supporters of the candidate whose posters were being disfigured started a fight, which turned tragic.

“In the process, one supporter was stabbed and ran away but was hit by a speeding matatu while the second one fell on the ground but was rushed to hospital in serious condition,” said Koome.


Source: standardmedia
 
Back
Top Bottom