1. Tangu tuwe wapenzi tumependana kikweli pendo letu la moyoni eeh
................................, kuepuka ushauri, na mahasidi kwa kweli ooh Sauda
na mahasidi kwa kweli ooh Sauda...
Sauda eeehh, Sauda oooh mamaaaa...
MV Mapenzi meli ya wapenda nao, wanaona fahari kutuona mimi na wewe
Duniani kuna mengi sawasawa na bahari
Kuna papa na nyangumi tena wale wa hatari
Hawataki kuiona meli yetu baharini
Watafanya kila njia waifupishe safari Sauda........
2. Mapendo ni mapendooo, ooohh mapendo ni mapendooo mamaaa
Kwa mlima Kilimanjaroo......
(huu siukumbuki vizuri)
3. One more night, just give me one more night....
mmmmmhhhh, one more night, lets have one more night
(huu ni wa ragga muffin kind na wenyewe siujui zaidi ya hapo)
These are my dedications to myself this valentine, if anybody can give me the full songs please
aka you tube ....
Thanks much and enjoy the rest of the day.