Ninyi tumieni tu hayo Machemical ya kuchubua ngozi , mukipata Cancer ya ngozi baadae ndio mutajua .
Mungu katuumba weusi makusudi kwa sababu tunaishi nchi za joto, ndio kinga pekee ya mionzi ya jua. Ukijichubua ngozi yako inakua nyembamba na ni rahisi kupata maradhi ya ngozi. Simthamini muafrika anayejichubua ngozi aonekane mweupe
Black is beauty