nenda playstore download chrome browser kupitia simu yako kisha search jf kweny web ulog in kupitia web kwa sim yako tatizo la picha utakua ume malizana nalo App unayo tumia kweny kuonesha picha kwa sasa imekua tatizo na Melo amekaa kimya ajatolea ufafanuzi hili suala kabisa