Ona mwenyewe

Mh hizi filamu za kibongo hatari tupu,yaani mke wangu wa ndoa nimruhusu achezewe namna hii?HATA SIKU MOJA..wamefikia hatua ya kula denda(romance au soda ya kopo) je ndio maadili yetu.FILAMU ZA KIBONGO NI MAPENZI TU. Why? Kwanini?
 
Kwani si tunawaiga wazungu walioleta sinema jamani! Hii mbona cha mtoto, hapo baadae siku si nyingi itakuwa kama Hollywood kabisaaa na sinema za kibongo zitagawanya katika makundi ya "U" na "X" kama parental guide
 
Mh hizi filamu za kibongo hatari tupu,yaani mke wangu wa ndoa nimruhusu achezewe namna hii?HATA SIKU MOJA..wamefikia hatua ya kula denda(romance au soda ya kopo) je ndio maadili yetu.FILAMU ZA KIBONGO NI MAPENZI TU. Why? Kwanini?
hata kama mapenzi yanarun dunia wenzetu hawa wamepitilizaa.
mijanaume inayoruhusu wake zao kufanya iv sijui inakuwa inawaza nn, sijui ndio wame ***** maana sielew.
hata kama wako kazin wanapitiliza aisee, na kweli wakitoka hapo kwenye kushikanashikana wanaenda kumalizana kbs mmh. shame on them.
 
Acheni mawazo mabaya,watu wako kazini,Afteral hapo kuna watu kibao wamewazunguka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…