On second thought - dada kama huyu sawasawa tu kuchepuka

wanawake tuu wavumilivu sana ila mnapaswa mtambue na siye tuna hisia kama nyinyi.

Wakuchepuka huwa hawana jema bidada...... Sometime mnatufanya sisi wanaume tukija kwenu tuwe Kama mahani.thi aiseeeh!
 
Unajua unavyooandika kama zee la nyeti unakera sana bro!

Tunajifunza kitu kipya kila siku ndugu..ungenisaidia kwa kuniambia how I should improve my writing ningeshukuru..wengine sisi ni zakayoz so kuandika sio fani...mahesabu na sheria tu
 
Mkuu utakuwa wewe ndo jamaa wa bodaboda

hapana..vinginevyo hii mada ingekuwa biased..ukitaka kupata hukumu nzuri inabidi usiwe biased..usiegee upande wowote wakati wa kuifanyia upembuzi yakinifu
 
hapo kwenye red. kumbe wewe bado unakaa na father house, mtoto wa mama bado unakaa nyumbani? dah, nimepoteza muda wangu kusoma story za watoto.
 
hapo kwenye red. kumbe wewe bado unakaa na father house, mtoto wa mama bado unakaa nyumbani? dah, nimepoteza muda wangu kusoma story za watoto.

Ubungoubungo..neno fatherhouse ni direct translation ya "baba mwenye nyumba" ambapo kwa kiingereza sahihi tutamuita "landlord"..kwa hiyo unakosea kusema mimi bado ninakaa nymbani.

Na bado kama ningekuwa nakaa nyumbani nisingeona aibu, suala lingekuwa nakaa kwa misingi ipi au nina malengo gani.

mara nyingi huwa tunakimbilia kuwacheka wanaokaa nyumbani (kwenye nyumba za wazazi wao) kwa sababu baadhi ya wazazi wetu aidha hawakutumia vizuri ajira zao au kipato chao ndo vile tena hivyo hawakujenga mjini

Jiulize kama ungezaliwa mmoja kwa babako then u grow up unakuta mzee ana majumba kama sita hapa town, matano kayapangisha na moja mnayokaa inaweza kuaccomodate family hata nne bila kuingiliana na its mzee's wish kwamba ukae naye ungefanyaje? ungekimbilia kujenga wakati you are the sole heir na hapo mzee keshachange hati na kukukabidhi majumba yote? acheni unafiki wa kimaskini
 

People don't learn why Arabs, Indians, whites are so successful.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…