Duh Mkuu mbona hueleweki? Tulia andika ueleweke. Kaa chini andika ueleweke bandugu
Duh Mkuu mbona hueleweki? Tulia andika ueleweke. Kaa chini andika ueleweke bandugu
Mbona stori inaeleweka kabisa bandugu,tatizo hiyo timu unayoishabikia inakupa stress mpaka huelewi vitu kiurahisi...teh teeeh teeeh!!.
Duh Mkuu mbona hueleweki? Tulia andika ueleweke. Kaa chini andika ueleweke bandugu
Labda huyo mod aliyeedit ameishia sekondari.....Moderators..humo kwenye post sijatumia lugha ya matusi wala lugha isiyofaa..why mmeiedit sana post yangu
kibaya zaid mnaedit mpaka vituo, koma, alama za kufungua na kufunga usemi, paragraphs nk....hivi sasa inaonekana kama imeandikwa na mtoto wa secondari!!!!!!
Duh Mkuu mbona hueleweki? Tulia andika ueleweke. Kaa chini andika ueleweke bandugu
Wakuchepuka atachepuka tu hata umpeleke hospitali , umpe hela, umpe mtaji, umtie vizuri, umtengeneze nywele n.k
Ila huyo mlevi naye alimneglect mno mkewe na mbaya zaidi hata majukumu yake km mwanaume yamemshinda hata pale alipokuwa na huo uwezo.
Hao ndiyo wanaaibisha.