On Corona Virus: Magufuli is the Worlds luckiest leader

After the outbreak of this pandemic, every country tried to strategise on how to save lives of its people as well as stopping the ecomony from a free fall. This was not easy and has not been an easy tast for some countries as i write.

Tanzania on the other hand, under the leadership of Dr Magufuli had had a uncelebrated approach which seems to have worked perfectly for Tanzania but not well for other countries

The approach was HERD IMMUNITY, which allows a majority of the population to gain resistance to the virus by becoming infected and then recovering

Today while i was at a Aghakan Hospital in DSM i asked the Dr who was attending me.... why are u not wearing face mask and i dont see a sanitizer in your desk. She replied, the Virus is gone! She said further that unlike one month ago where they could test positive 7 to 8 people out of 10. It was worse. But now despite the tests, no infections at all she added

Then i asked her, what is the scientific explaination for this, and she said HERD IMMUNITY.

As my title suggests, while countries like Sweden, Hait and other European countries have been badly hit after practicing herd immunity, Tanzanians we are lucky and all praises go to Dr Magufuli for his steady leadershid that strongly led us through this difficult moment and by helping its citizens to overcome fear. JPM saw what others could not see that Tanzania could not afford a prolonged lockdown without messing up it all

Additionally, JPM is lucky because through prayers also, it suggests that God was with Tanzania when the decision by JPM to practice HERD IMMUNITY was taken.

God Bless Tanzania, God Bless Magufuli.
God bless Tanzania not Magufuli who is making our country a laughing stock of very stupid people like you and that hospital worker. The worker reveals that only a month ago out of 10 people tested at any given time in that one hospital, 7 to 8 or 70 to 80 per cent were positive when the Govt was deceiving the world that for 3 consecutive months the country had only 4 positives, no deaths nor reliefs. If one small hospital in big metropolis had such rates, what about all the hospitals in the city or country?
 
Mapoints

20200628_050156.jpeg
 
Bila kuumiza imani za wengine...wala halina uhusiano na Mungu (kwa imani yangu).

Wanachofanya Wakulu ni kwenda sawa tu na"madhaifu" ya Wanainchi wao. Kama wapo mamia ya Wananchi ambao huaminishwa kirahisi tu kwa gospel za kina Gwaji boy, Mwa mpesa, Joni Devi, Mzee wa kupaka n.k.....nao wakaamua kuwaambia Wananchi kuwa hakuna tishio la ugonjwa na Mungu amewaponya..hivyo mamia ya Watu wanapona kwa imani hofu inaondoka na maisha yanaendelea.
Then,Kama unakubali kuwa wengi wameambukizwa na wakapona kwa Imani, Basi Mungu anahusika. Lakini Kama unadhani hatujaathirika Sana kutokana na juhudi zetu binafsi, huo nao ni mtazamo wako, japo nitauchallenge kwa hatua dhaifu zilizochukuliwa na nchi kwa ujumla. All in all tumepona kwa neema tuu. Sisi sio special Sana. Lakini pia, inaonekana Herd Immunity in COVID-19 is real.
 
Corona ipo jamani, siku hizi hata tukituma sample majibu hayarudi! Kuna mtu tulimweka isolation na sample tukatuma, alikuwa hoi ila baada ya wiki 3 Akapona! Xray zilionesha maji kujaa kwenye mapafu na Alikuwa anapumua Kwa shida, mpaka anapona hatujapata feedback ya vipimo tulivyotuma!

Chukua tahadhari
Madaktari wa siku hizi bana ni shida.kwa hiyo kifua kujaa maji ni corona?
 
Haipo usitulazimishe
Corona ipo jamani, siku hizi hata tukituma sample majibu hayarudi! Kuna mtu tulimweka isolation na sample tukatuma, alikuwa hoi ila baada ya wiki 3 Akapona! Xray zilionesha maji kujaa kwenye mapafu na Alikuwa anapumua Kwa shida, mpaka anapona hatujapata feedback ya vipimo tulivyotuma!

Chukua tahadhari
 
Tupe takwimu. Kwenu upande wa baba na mama yako, wangapi wamekufa kwa corona?
Fake. Hospitali kubwa hapa nchini madaktari na manes full kuvaa barakoa. Unakuja kudanganya toto humu.

Trend ya maambukizi hata ulaya zimepungua sio Tz tu na hii ni kutokana na average nyuzi joto ya maeneo mengi kuongezeka. Hii inaleta conclusion kuwa africa tumesaidiwa sana na joto ndyo maana cases za dar hazikuwa nyingi kulinganisha na moshi au arusha ukikonsider na population pia.
 
Unaelewa trend ya Corona ilivyo kwa sasa nchini au unajielezea tu? Hiyo Aghakan unayoielezea ambayo mimi siifahamu ni ya nchi gani? Maana ya hapa nchini ninazo taarifa zake zote!
Wewe tulishakupuuza!

Raia wamemuelewa sana Magufuli juu ya corona
 
Kaa kimya! Tupo hapa Kisarawe na fuso tunapaki vyombo ya DAS kuelekea Mbeya. Si unajua kaambiwa hata kulala asilale hapa?
 
Utapanic sana!

Mlifikiri corona itawapa credit lakini mmeangukia pua!
Nyumbu nyie!
 
Kuteka akili zenu wanyonge,
Wanyonge JPM hana haja ya kuteka akili zetu kabisaa. Mbona njia yake ni nyeupeeeeeeeeeehhhhhhhh haina milima wala mabonde. .wanyonge tunajiteka wenyewe na kukubali hiki chuma kinavyochapa kazi..JPM anaweza hata kulala usingizi tu mbona
 
For sure, kuna jamaa yangu wa karibu naye anasumbuliwa na shida ya kupumua , amekewa oxygen , Leo siku ya tatu
Kibaya zaidi week before nili interact naye kwa Sana maana shughuli zetu zinafanana , ndo nasubiri kwangu kinuke maana sioni Kama hatukuambukizana.hii kitu isikie tu Ni hatari

Sent
Nasikia tiba ya NIMRI hile juice ni kiboko ajaribu kuitafuta.
 
After the outbreak of this pandemic, every country tried to strategise on how to save lives of its people as well as stopping the ecomony from a free fall. This was not easy and has not been an easy tast for some countries as i write.

Tanzania on the other hand, under the leadership of Dr Magufuli had had a uncelebrated approach which seems to have worked perfectly for Tanzania but not well for other countries

The approach was HERD IMMUNITY, which allows a majority of the population to gain resistance to the virus by becoming infected and then recovering

Today while i was at a Aghakan Hospital in DSM i asked the Dr who was attending me.... why are u not wearing face mask and i dont see a sanitizer in your desk. She replied, the Virus is gone! She said further that unlike one month ago where they could test positive 7 to 8 people out of 10. It was worse. But now despite the tests, no infections at all she added

Then i asked her, what is the scientific explaination for this, and she said HERD IMMUNITY.

As my title suggests, while countries like Sweden, Hait and other European countries have been badly hit after practicing herd immunity, Tanzanians we are lucky and all praises go to Dr Magufuli for his steady leadershid that strongly led us through this difficult moment and by helping its citizens to overcome fear. JPM saw what others could not see that Tanzania could not afford a prolonged lockdown without messing up it all

Additionally, JPM is lucky because through prayers also, it suggests that God was with Tanzania when the decision by JPM to practice HERD IMMUNITY was taken.

God Bless Tanzania, God Bless Magufuli.
Aaaaah lucky and scientific approach don't go togather!
Just declare, either Magufuli is a genius in a way he fought against corona, or the man is hopeless only rescued by lucky!
 
Aione Nguruvi3 na timu yake!
Kama nilivyowahi kukueleza , sina kawaida ya kujibu hoja zako. Kwa hili nitakujibu ili ku 'expose' ignorance tukizingatia ni mmoja wao. Just make sure unanilinda japo mimi sikujui na sijui kama unajulikana.

Kwanza, maoni ya mtoa mada ni haki yake kikatiba. Tatizo la maoni hayo ni kupotosha na kutokuwa na chembe ya ukweli. Hili ndilo tatizo kubwa la wapiga debe wa zama hizi.

COVID-19 haina chanjo hadi sasa, hakuna mtaalam aliyethibitisha uwepo wa natural immunity kwa wanaougua.

Imethibitika kuwa wanaogua wapo wanaogua tena. Hili linaonyesha kuwa Herd immunity haipo.

Herd immunity inapatikana pale ambapo population inapokuwa protected either kwa chanjo au natural immunity kutokana na kupata maradhi.

Ikiwa haijathibitika lolote kuhusu Immunity ya Corona ikiwemo kutopatikana kwa chanjo , Herd immunity inatoka wapi? Masikini Watanzania ! haya mambo ni elimu si siasa za Lumumba!

Hoja kwamba kuna herd immunity ni ya kijinga na wanaoikubali ni wapumbavu tu.

Pili, mleta mada hajaeleza watu wangapi waliugua wangapi walizikwa usiku.
Ushahidi wa kuzikwa usiku ulitolewa na serikali kwa kupiga marufuku watu kuzikwa usiku. Nani ana takwimu?

Tatu, wapi takwimu na kwanini zilikataliwa kutolewa? Kama hakuna takwimu jibu lolote linakuwa sahihi; Kwamba, hakuna Corona ni sahihi kwasababu hakuna data.
Kwamba, watu wengi wamekufa ni sahihi kwasbabu hakuna data.

Nne, tumekataliwa kuingia Ulaya, hakuna data na hakuna anayejua trend ya ugonjwa hapa nyumbani.
Maana yake ni kuwa watu wetu watatatizika kwa muda wakienda au wakipita Ulaya.

Kwahiyo bwana TUJITEGEMEE tulipoona bandiko hili tulilipuuza , tumerudi kusaidia watu kama wewe wanaodhani herd immunity ni aina ya kwaya au kundi la maigizo.

Pascal Mayalla tindo JokaKuu
 
Kama nilivyowahi kukueleza , sina kawaida ya kujibu hoja zako. Kwa hili nitakujibu ili ku 'expose' ignorant tukizingatia ni mmoja wao. Just make sure unanilinda japo mimi sikujui na sijui kama unajulikana.

Kwanza, maoni ya mtoa mada ni haki yake kikatiba. Tatizo la maoni hayo ni kupotosha na kutokuwa na chembe ya ukweli. Hili ndilo tatizo kubwa la wapiga debe wa zama hizi.

COVID-19 haina chanjo hadi, hakuna mtaalam aliyethibitisha uwepo wa natural immunity kwa wanaougua.

Imethibitika kuwa wanaogua wapo wanaogua tena. Hili linaonyesha kuwa Herd immunity haipo.

Herd immunity inapatikana pale ambapo population inapokuwa protected either kwa chanjo au natural immunity kutokana na kupata maradhi.

Ikiwa haijathibitika lolote kuhusu Immunity ya Corona ikiwemo kutopatikana kwa chanjo , Herd immunity inatoka wapi? Masikini Watanzania ! haya mambo ni elimu si siasa za Lumumba!

Hoja kwamba kuna herd immunity ni ya kijinga na wanaoikubali ni wapumbavu tu.

Pili, mleta mada hajaeleza watu wangapi waliugua wangapi walizikwa usiku.
Ushahidi wa kuzikwa usiku ulitolewa na serikali kwa kupiga marufuku watu kuzikwa usiku. Nani ana takwimu?

Tatu, wapi takwimu na kwanini zilikataliwa kutolewa? Kama hakuna takwimu jibu lolote linakuwa sahihi; Kwamba, hakuna Corona ni sahihi kwasababu hakuna data.
Kwamba, watu wengi wamekufa ni sahihi kwasbabu hakuna data.

Nne, tumekataliwa kuingia Ulaya, hakuna data na hakuna anayejua trend ya ugonjwa hapa nyumbani.
Maana yake ni kuwa watu wetu watatatizika kwa muda wakienda au wakipita Ulaya.

Kwahiyo bwana TUJITEGEMEE tulipoona bandiko hili tulilipuuza , tumerudi kusaidia watu kama wewe wanaodhani herd immunity ni aina ya kwaya au kundi la maigizo.

Pascal Mayalla tindo JokaKuu
20200628_050156.jpeg
 
For sure, kuna jamaa yangu wa karibu naye anasumbuliwa na shida ya kupumua , amekewa oxygen , Leo siku ya tatu
Kibaya zaidi week before nili interact naye kwa Sana maana shughuli zetu zinafanana , ndo nasubiri kwangu kinuke maana sioni Kama hatukuambukizana.hii kitu isikie tu Ni hatari

Sent
nenda kajifukize mtumzima haraka sana. Usisaha kuchanganya vitunguu, majani ya mlimau na Maganda ya mbatata.
 
Back
Top Bottom