On Channel 10: Mwigulu afunguka juu ya Uzalendo, Gesi Mtwara, Bomu Arusha...

Mbona wameweka kipindi cha Dr. Mwaka? Kwanini mnadanganya tumekaa tunasubiria bhana
 
Hizi media za Tanzania nazo ni sehemu ya tatizo tu.....huu unafiki na uovu kumpa muuaji kama Mwigulu jukwaa la kendeleza dhihaka dhidi ya Tanzania na raia wake.

I'm gutted to be Tanzanian. I'm ashamed to be Tanzanian.

usipende kuropoka una uhakika na unachokisema.
 
Mbona alishaongea mara nyingi tu,bungeni,voa nk,hakuna anaemwamini mwigulu,hata akishusha moto mbinguni.TANGU LINI MWEHU AKAAMINIWA.
 
Lets wait...tuone kama AMG imekuwa jukwaa la kampeni baada ya kufungwa muda wa kampeni
 
Kampeni arusha zimeisha,swali la tindikali lipo mahakamani,swala la bomu polisi wanafanya upelelezi,sasa haoni kwamba anavunja utaratibu..huyu goon wala hata siwezi kumsikiliza.

Maadamu ameamua kuongea nje ya bunge, wanaCDM wamsikilize ujinga wake ili kama ni kushitakiwa basi iwe ni hapohapo maana nje ya bunge hana kinga.
 
Hizi takataka sijui By Juliana Shonza
na mwenzie ambaye alikuwa anapika uji huku kakata tamaa...CDM waliwapa nafasi wasizo stahili.....walikuwa bado kustaarabika vya kutosha kuweza realize "humanity" ktk CDM comunity.


Hawa ni laana ya nchi...si muda wasipotubu na kuwa watu wata regret maisha yao yote..wasipotubu.wataishia kuisema vibaya CDM hata wakiwa ktk gongo.

Hii type ya vijana huwa si muda hufulia hadi kuishia kwenye taputapu.
 

Kama ingekuwa ndani ya CCM kunae watu watano tu wenye uwezo wa kufikiri kama wewe basi nchi hii tusingefika hapa tulipo leo.
Hakika wengine watafurahia anachokifanya Mwigulu lakini siku moja tutajutia hii nafasi tunayompa huyu CHIZI kuendelea kutugawa kwa Maslahi yake Kisiasa.
Mauaji ya kimbali huko Rwanda ilichangiwa kwa kiasi kikubwa na wanasiasa uchwara kama Mwigulu na Media kama tunavyoona sasa.

Waliokufa Arusha ni binadamu haijalishi ni wafuasi wa CDM au sio. Sasa Mwigulu kutaka kutumia marehemu kujinufaisha kisiasa kama anavyo fanya kwa kijana Musa Tesha alieathirika kisaikolojia baada ya kumwagiwa Tindikali ni jambo linalosikitisha na la Kumchukiza hata MUNGU.
Mwigulu kumbuka kwamba cheo ni dhamana.na kujidai wewe unajuwa kila kitu kwa kweki siku moja utajutia inachokifanya siku moja. Kumbuka hukujiumba bali kuna aliekuumba na kwamba siku yafika kwa huyo aliekuumba kusema sasa basi.

Mwisho wa UBAYA siku zote ni AIBU!!
 

Hili litakuwa Capitalized kuliko hata bomu la Arusha. Just wait?
 
Anatakiwa kujua jinsi anavyoianadi ibaya CHADEMA ndivyo anavyoijenga.Sielewi kama wanaCCM wenzake wanalielewa hilo.Walianza na CUF ya waislamu,mara wameleta majambia ili kuanzisha vita,mara hawa ni waroho wa madaraka.Mwisho wa siku CUF ikafa leo yale yale yanajirudia,tatizo ni kuwa huwezi kudanganya watu wote wakati wote ,CCM inatakiwairudi nyuma ijiangalie kwa nini tupo hapa tulipo.
 
Cdm pressure inapanda pressure inashuka

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Kikwete amebinafsisha urais kwa Mwigulu, naona hii itakuwa ni hotuba ya mwisho wa mwezi kiaina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…