Kashaijabutege JF-Expert Member Joined Oct 20, 2010 Posts 2,696 Reaction score 740 Jan 26, 2012 #1 Wana JF Kuna mtu ambaye kwenye archive yake ana makala walizowahi kuandika akina Salva Rweyemamu na Prince Mahinja Bagenda katika gazeti la Rai (ya Ulimwengu) kabla hawajarudi kwao CCM? Napenda somo la Historia.
Wana JF Kuna mtu ambaye kwenye archive yake ana makala walizowahi kuandika akina Salva Rweyemamu na Prince Mahinja Bagenda katika gazeti la Rai (ya Ulimwengu) kabla hawajarudi kwao CCM? Napenda somo la Historia.