Ombi la nafasi ya kujitolea plumbing

Ombi la nafasi ya kujitolea plumbing

pSmAthew

Member
Joined
Nov 14, 2019
Posts
7
Reaction score
0
Napenda kuomba kazi ya plumbing ya kujitolea katika taasisi yoyote elimu yangu ni
# Kidato cha nne
# Veta plumbing Level 2

Contact 0765558812

Napatikana Dar es Salaam
Na Tabora
 
Mimi Ni Fundi plumbing pia ila hiyo kazi kwa kujitolea ndungu n ngumu usiombe inachangamoto kinoma acha kabisa utajuta
 
Mimi Ni Fundi plumbing pia ila hiyo kazi kwa kujitolea ndungu n ngumu usiombe inachangamoto kinoma acha kabisa utajuta
Mtaani kugumu kaka ndo kwanza tumetoka veta tunashindwa tuanze vipi msaada wa kimawazo nahitaji tafadhari
 
Back
Top Bottom