Ombi la Mh. Lowassa kwa Watanzania

Ombi la Mh. Lowassa kwa Watanzania

Kizimbuzi

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2013
Posts
1,569
Reaction score
745
OMBI MAALUM KWA WATANZANIA WOTE:

Mimi Edward Ngoyai Lowasa ambaye ni mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia CHADEMA chini ya umoja wa katiba ya wananchi UKAWA naomba wewe mwana chadema,mwana ccm, mwana NCCR, mwana TLP,mwana CUF,mwana ACT,na vyama vingine vyote pamoja na usiye na chama, tarehe 25/10/2015 unipe kura yako nami ntatenda kama mlivyonituma.

Katika maisha yatupasa kufanya maamuzi magumu lakini ya Hekima, yatupasa kusimama imara na kupiga vita roho ya woga, yatupasa kuandika historia ya kukumbukwa milele,yatupasa kutimiza wajibu wetu.

Wazee wetu waliotupatia Uhuru 1961 walithubutu na leo tunakula matunda ya Uthubutu wao.

Ingia kwenye historia kwa kufanya MABADILIKO kwa kuchagua diwani,Mbunge na Rais kutoka UKAWA.

Kuwa Shujaa, tuunge mkono katika mabadiliko na utajiona mwenye amani maisha yako yote!

Dumisha Amani Epuka Uchochezi, vurugu,na vitendo vinavyoweza kuhatarisha usalama wa Mama Tanzania.

Kumbuka tulianza na Mungu na tutamaliza na Mungu.

KURA YAKO ndiyo FIMBO YAKO KWA WATAWALA WALIOSHUPAZA SHINGO.

Kura yako pekee haitoshi,zungumza na mwenzio atuunge mkono, natumai umoja wetu ndio ushindi wetu(Nikuombe pia uwatumie Ujumbe huu watanzania kumi (10) ili nao wawe sehemu ya historia ya Mabadiliko ya Nchi yetu!)

AHSANTENI SANA!

E.N Lowassa.
Oct.2015, Dar
 
Kura yangu, na familia yangu na marafiki zangu zote kwa Lowassa
 
Mungu azidi kukupa nguvu na uelewa. Kura yangu na familia yangu umepata.
 
OMBI MAALUM KWA WATANZANIA WOTE:

Mimi Edward Ngoyai Lowasa ambaye ni mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia CHADEMA chini ya umoja wa katiba ya wananchi UKAWA naomba wewe mwana chadema,mwana ccm, mwana NCCR, mwana TLP,mwana CUF,mwana ACT,na vyama vingine vyote pamoja na usiye na chama, tarehe 25/10/2015 unipe kura yako nami ntatenda kama mlivyonituma.

Katika maisha yatupasa kufanya maamuzi magumu lakini ya Hekima, yatupasa kusimama imara na kupiga vita roho ya woga, yatupasa kuandika historia ya kukumbukwa milele,yatupasa kutimiza wajibu wetu.

Wazee wetu waliotupatia Uhuru 1961 walithubutu na leo tunakula matunda ya Uthubutu wao.

Ingia kwenye historia kwa kufanya MABADILIKO kwa kuchagua diwani,Mbunge na Rais kutoka UKAWA.

Kuwa Shujaa, tuunge mkono katika mabadiliko na utajiona mwenye amani maisha yako yote!

Dumisha Amani Epuka Uchochezi, vurugu,na vitendo vinavyoweza kuhatarisha usalama wa Mama Tanzania.

Kumbuka tulianza na Mungu na tutamaliza na Mungu.

KURA YAKO ndiyo FIMBO YAKO KWA WATAWALA WALIOSHUPAZA SHINGO.

Kura yako pekee haitoshi,zungumza na mwenzio atuunge mkono, natumai umoja wetu ndio ushindi wetu(Nikuombe pia uwatumie Ujumbe huu watanzania kumi (10) ili nao wawe sehemu ya historia ya Mabadiliko ya Nchi yetu!)

AHSANTENI SANA!

E.N Lowassa.
Oct.2015, Dar

"Sisi tupo wanne, na wote tumeshampa, na ninapiga kampeni kwenda mbele, nauhakika nimeshawashawishi watu zaidi ya ishirini kumpa Lowassa kura, na wabunge, madiwani wa Ukawa, viva Lowassa, viva Ukawa, ccm out...tukutane tar 25 Oct kwa raha zetu kuizika ccm"
 
We will vote for you mr president. God is with you, we're praying for GOD's intervention that peace will prevail, no blood will be shed and not vote will be stolen. We're also praying that GOD Almighty will grant you good health, strength and protection. We also pray to GOD that you dream will become true. I do have faith in GOD that you're the next president of the united republic of Tanzania. If God says yes no one can say no. GOD bless you and your family. Remember no weapon formed against you shall prosper because GOD is with you.
 
Kura yangu, mke wangu, house girl, mlinzi wangu, wafanyakazi 6 wa biashara zangu... dada zangu 3, mama, baba, mama mkwe, shemeji zangu, kura zote UKAWA, LOWASSA...!!!

Hakuna utani... tumechoka, CCM ndio adui namba moja...

Mr. President Lowassa, umepata... Mungu yuko nawe...!!!

CCM out...!!!
 
Kura yangu ni kwa Magufuli. Wewe lowassa hufai kuwa hata balozi wa nyumba kumi, achilia mbali urais wa nchi. Lowassa hufai, rudi Monduli ukachunge mbuzi. Ikulu ni ya MAGUFULI. #HapaKaziTu
 
Back
Top Bottom