Omba usiachiwe kitoto kidogo. Wamama kumbe wanasumbuka hivi?

Mama yake sio mstaarabu alitakiwa amvalishe pempas
Na kuacha mtoto kwa watu tena unaachia wanaume sio vyema kabisa dunia imeharibika
Aisee.Nililifikiria hilo mkuu,ila kwa jinsi dogo alivojisaidia mara mbili haja kubwa.Hiyo pampers sijui ingekuwaje tu
 
Nawaheshimu wanawake kwa hili aisee, ishu ya kukaa na kitoto kinalia mda kama wote, kukibadili pampasi kila baada ya muda, kubembeleza muda wote, kuhisi kama kanaumwa au lah aisee ni kazi hiyo.
 
Back
Top Bottom