Omba omba

ngurutu

Member
Joined
Mar 31, 2017
Posts
54
Reaction score
51
Kiukweli vitabu karibu vyte vya dini vina pinga sana swala la kuomba omba nasababu ya msingi kuomba hushusha hadhi ya mtu hasa kuomba mitaani kwa mtu ambae humfahamu,lakn kama bnaadamu tunasaidiana hasa kwa wale waso jiweza

Kiukweli kwa kipindi hki hla ni ngumu sana na binafsi jpo kutoa ni swala la imani lakn huwa najthd angalau kutoa kwa yule anaye stahiki

Kutokana na ugumu wa maisha hii sekta imevamiwa na waigzaji wengi sanaa na wengine wanaigza mpka kweli wana gundulika kma wanaigiza

Mfano moja ya omba omba ambao huwa natafakari kumpa hla yangu ni yule anae kaa kwenye ukuta wa kituo cha gerezani karibu na lango la ktokea amevaa kanzu na kilemba na kutamka "toa kwajili mungu atakusaidia" cha kushangaza mpaka siku ya ijumaa wakati watu wanasali yeye anaomba,au nyakati za swala ,kiukweli ni jambo baya na linatia doa imani flani,huyu mzee alianzia rangi tatu nw kasogea mjini, na kiukweli hawa watu wanaingza fedha nyingi sana kwa siku

Aina ya pili ni wale omba omba ambao wana sukumwa kwenye baiskeli au viti mimi bnafsi knacho nshangaza mtu anae msukuma anaonekana kuwa na nguvu zaidi yako yaani akiamua kujichanganya na kufanya kazi kiukweli ana uwezo wa kumhudumia hyo mtu mwenye ulemavu

Aina ya tatu ya omba omba ambae huwa natafkri mara kumi kutoa hla ni mlemavu wa macho, hko kuna maigizo ya hatari hkuna ulmvu rahc kuigza kma kipofu uspo kuwa makni unaweza kumsaidia mtu ambae si muhsika

Jamani watanzania wenzetu hali ngumu ya maisha ni kwa wotee sisi pia tuna zipata hela kwa tabu na tunapenda kusaidia waso jiweza lakn mnatukatisha tamaa, hata sisi tunao wasaidia walemavu na wasio jiweza nisababu tuna imani nasio kwamba tuna mamilioni ,mnavo kimbilia wte kwenye kuigza ulmavu ili muombe mna ziba nafasi za wale ambao hawajiwezi na wanahtji msaada wa kweli
 
Mambo mabaya siku hizi mkuu...
ila umewasahau hawa ombaomba wanawake (wapenzi wetu)...yeye anaomba hela kila mara na cha kushangaza kazi anayo lakini yeye ni Mpenzi/mchepuko ombaomba..

Anyways, sometimes Mimi natoa tu siangalii sura sijui yuko hivi na hivi..

Natoa kwa moyo mmoja, kama anadanganya ili atajirike nuksi zitamrudia yeye huko alipo..

Kutoa ni moyo, sio utajiri
 
We ngurutu kama huna hela ya kumpa omba omba achana nae..hayo mambo sijui kavaa kanzu sijui kilemba si hayatuhusu,.kama huna kitu we pita tu waache waliojaliwa watawasaidia.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…