Wanajamvi, usiku wa leo nilikuwa naoga mida ya saa4 unusu hiv usiku. maji yakapelea nikamwagiza mdogo wangu anongezee maji. Kama kawa alishazoea akitokka anapiga roky. Ebwana eh namaliza kukoga mlango unagoma.
Nikajipa moyo kwa vile nilikuwa na kisimu cha tochi kina line ya Tigo (maana ndani giza). Kupiga simu inapiga duh duh duh yaan haisemi ka namba ipo au vp. Mara nikazma na kuwasha hakuna kitu. Last altenativ ikabak kugonga mlngo mpka atakae sikia.
Yaan inimekaa kama nusu saa mpaka najuta kutumia tigo!!!! Nilikuwa nikisikia watu wakiilalamikia ila mie huwa sjali maana mi kwangu huw ni line ya nyongeza tu.
Hatari.