Niwemugizi7
Member
- Aug 10, 2013
- 27
- 7
Waungwana naomba kama kuna aliyeapply hizo scholarship wizarani tufahamishane updates....
Vyuo vimefunguliwa rasmi september moja kaka...TULIOPATA TUNAJIJUA.Pole braza jaribu next time.Anway Muscat pako powa ila joto kaliii kitu 40 centgrade.
kawoli si kwamba najibu kwa nyodo ..ninampa ukweli huyu ndugu.Scholarship si rahisi kupata bongo hii.Lazima ujitume kuzisaka.Sasa yy yupo Kanatalamba anategemea apate ma born here here tukose?
yani unavojibu kwa nyodo
kawoli si kwamba najibu kwa nyodo ..ninampa ukweli huyu ndugu.Scholarship si rahisi kupata bongo hii.Lazima ujitume kuzisaka.Sasa yy yupo Kanatalamba anategemea apate ma born here here tukose?
Ushakosa baba..mi nipo muscat hivi sasa.
Ushatoneshwa rinda huko si bure