mambomengi
JF-Expert Member
- May 16, 2009
- 829
- 242
mkuu unashangaa nini wakati wachezaji walikuwa wanafanya mazoezi ya Olympic uwani kwa nyumba ya Filbert Bayi?
Je umemwona mkenya mmoja anaitwa Rudisha amevunja rekodi ya dunia ya 800m, yeye alijitengenezea uwanja wake wa mazoezi porini, akafanya mazoezi na kufanikiwa kurudi 'umasaini' na dhahabu na rekodi mpya ya dunia.
Hakuna kujitetea ni uzembe wetu huo.
Viongozi wa Kamati ya Olympic na chama cha riadha Tanzania ni wachumia tumbo tu, mtu anang'ang'ania timu ifanye mazoezi nyumbani kwake ili achukue yeye hela ya maandalizi ya Olympic, wanatakiwa kulazimishwa kuachia ngazi ni aibu tupu.Yupo mkimbiaji mtanzania alipinga kambi kuwekwa kibaha wakati hali ya hewa London ni tofauti na hapo, yeye aliomba afanye mazoezi mwenyewe kwenye high altitude akiamini ingemsaidia kutokana na hali ya hewa- walimkatalia na kumfukuza kwenye timu, matokeo yake ni aibu hii. Imefika wakati wadau nao wasikilizwe hizi sio timu za viongozi bali ni za taifa namsubiri GIDABUDAY atupe za data za ndani!!
Viongozi wa Kamati ya Olympic na chama cha riadha Tanzania ni wachumia tumbo tu, mtu anang'ang'ania timu ifanye mazoezi nyumbani kwake ili achukue yeye hela ya maandalizi ya Olympic, wanatakiwa kulazimishwa kuachia ngazi ni aibu tupu.
aibu ipi?
hii mbona ndio normal kwetu?
Si kuitembea tu, kuna michezomingi ambayo tungeweza kujiandaa na kushinda. lakini tatizo letu kubwa hatuna huo moyo wa kushinda, hivyo hata kujiandaa hatujiandai. Ukichunguza kwa makini, mataifa mengine pamojana wanamichezo binafsi wanaanza maandalizi ya Olympic ya 2016 mara tu baada ta mashindano haya. Sisi tutasubiri mpaka januari 2016 ndipo utasikia maandalizi ya timu ya olimpiki yanaanza!Nimeshuhudia juzi mashindano ya kutembea katika Olympic,sikujua kama uwa kuna mashindano ya kutembea,kama mbio zimetushinda watanzania basi tujikite kwenye mashindano ya kutembea,hivi hata kutembea Watanzania hatuwezi,kuna makabila ni mafundi sana wa kutembea tena bila viatu,tujikite sasa kwenye mazoezi ya kutembea labda uko tutapata medali olympic ijayo.
Nimeshuhudia juzi mashindano ya kutembea katika Olympic,sikujua kama uwa kuna mashindano ya kutembea,kama mbio zimetushinda watanzania basi tujikite kwenye mashindano ya kutembea,hivi hata kutembea Watanzania hatuwezi,kuna makabila ni mafundi sana wa kutembea tena bila viatu,tujikite sasa kwenye mazoezi ya kutembea labda uko tutapata medali olympic ijayo.
mkuu unashangaa nini wakati wachezaji walikuwa wanafanya mazoezi ya Olympic uwani kwa nyumba ya Filbert Bayi?
mkuu unashangaa nini wakati wachezaji walikuwa wanafanya mazoezi ya Olympic uwani kwa nyumba ya Filbert Bayi?
Si kuitembea tu, kuna michezomingi ambayo tungeweza kujiandaa na kushinda. lakini tatizo letu kubwa hatuna huo moyo wa kushinda, hivyo hata kujiandaa hatujiandai. Ukichunguza kwa makini, mataifa mengine pamojana wanamichezo binafsi wanaanza maandalizi ya Olympic ya 2016 mara tu baada ta mashindano haya. Sisi tutasubiri mpaka januari 2016 ndipo utasikia maandalizi ya timu ya olimpiki yanaanza!