Akihojiwa na DW (Sauti ya Ujerumani) alfajiri hii Makamu mwenyekiti wa BAVICHA Taifa Patric Ole Sosopi amesema hakuna jinsi polisi wanaweza kuwazuia kwenda Dodoma kuwasiadia na kuwaruhusu CCM wakiuke amri yao wenyewe. Amesema Ccm hawaendi kufanya harusi, kuchezwa ngoma au unyago bali wanaenda kufanya mkutano wa kisiasa ambao umepigwa marufuku.
"Swisi tunaenda Dodoma kumkubusha rais kwamba ukiwa mwongo usiwe msahaulifu. Rais ailpiga marufuku mikutano ya kisiasa akisahau kwamba chama chake kitafanya mkutano ambao yeye atahudhuria kukabidhiwa uenyekiti". Amesema hata wakikamatwa viongozi wote wa kitaifa wa BAVICHA hawatweza kuzuia vijana kuingia Dodoma kwa sababu BAVICHA ni taasisi inayojiamria mambo yake kila mkoa kivyake na ndiyo maana kuna mikoa imetangaza kwenda Dodoma na mingine haijatangaza.