mwembemdogo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 2,282
- 1,252
Nimeona nichangie mada juu ya tabia aliyoianzisha msemaji wa CCM Bw.Ole Sendeka ya kumfuata fuata Mh.Lowassa katika usemaji wake.Bw.Ole Sendeka unatakiwa ukumbuke kuwa wapiga kura wa Simanjiro uliowatelekeza ukiwa mbunge ndio waliokuadhibu kwa kukunyima ubunge.
Kumbuka ukiwa mbunge ulijikita kujifanya msemaji sana bungeni badala ya kuwa mpeleka maendeleo jimboni kwako.Inashangaza kuona kila ukipanda jukwaani wewe in Lowassa, Lowassa, Lowassa.Kakukosea nini Bw.Lowassa?,kama ni CCM keshatoka kwanini unamfuatafuata?
Wewe nenda Simanjiro kawaombe radhi wapiga kura wako ila sidhani kama watakusikia wamepata mbunge kijana uliyemtafutia visa vingi lakini hukufanikiwa.