mwembemdogo
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 2,282
- 1,252
Kama kuna mtu maarufu anayepoteza umaarufu wake kila kukicha basi ni "Msemaji wa CCM, cheo ambacho hakimo hats katiba ya chama chake aliyekuwa Mbunge wa Simanjiro Bw.Christopher Ole Sendeka.
Mheshimiwa huyu amekuwa muda wote anaizungumzia CHADEMA badala ya kukisafisha na kujisafisha yeye kwa wanaSimanjiro.Nimeshangazwa na kauli yake ya hivi karibuni eti CHADEMA wanaogopa Magufuli akiwa Mwenyekiti wa CCM ukweli sipati kuelewa uenyekiti wake una uhusiano ganui na CHADEMA au ni kinyume chake?
Mimi nadhani Magufuli anawajua vizuri wanafiki ndani ya CCM na yeye Ole akiwemo ndio maana anataka kupotezea.Makamu Mwenyekiti aliwahi kumwonya Sendeka kwa kauli zake.