Ole Sabaya ataka kesi yake iharakishwe

Taarifa za ndani ya gereza la Karanga zinaonyesha , General Sabaya anaishi na simu yake ya mkononi huko Gereza la Karanga na usiku anawasiliana na watu mbali mbali, ikiwemo Ofisi ya DPP.
Acha uongo, ofisi ya Dpp haifanyi kazi usiku.
 
Hiyo namba ya kwanza ni ya SAASHISHA MAFUWE,ni Mbunge wa Jimbo la Hai ambako Sabaya alikuwa DC
 
namba ya kwanza (0754980805)ni ya SAASHISHA MAFUWE,Mbunge wa Jimbo la Hai
 
Acha uongo, ofisi ya Dpp haifanyi kazi usiku.
Ofisi ya DPP Pia watumishi wake hayapimwi cm Za mikononi usiku. Mkuu nitakuaibisha nitaweka namba zao hapa. Huku Sio Fb
 
Bado atakaa jela mpaka 2030
 
General Sabaya anayo na anaitumia kupigia watu, nitaweka orodha ya watu na simu nsmba anazopigia watu .
Sio SABAYA tu wafungwa wengi wakubwa walio magerezani wana simu,siri za gerezani zitabaki gerezani, huna unachoweza kusema ikaeleweka.

inakua ni kama kesi za uchawi na ushirikina mahakamani,ila si kwamba hamna uchawi au ushirikina likewise ya gerezani hubaki gerezani.

anaeweza mchoma sabaya kwa kutumia simu n huyo anaempa simu (jambo ambalo haliwezekani ng'o)

Hongera tu kwa kujua hilo mkuu ambalo lingine hujalijua ni kuwa wafungwa type za sabaya wana special Meals,wana lala kwenye magodoro ft 12,ki ufupi maisha ya wafungwa/watuhumiwa type ya sabaya maisha yao ya gerezani sio ya ki sport sport.

Kuna mengi zaidi ya hilo la simu mkuu, hata nikufungukie itakua n kama story za vijiweni tu ila ukweli ndio huo Bongo hamna magereza ya kuwajibisha vibopa waliotoka uraiani Hakuna, unategemea Bakhressa afungwe leo ataenda jela kula ugali maharage?, nyooooooooo (in baddest voice)
 
Ulichokiandika kwenye comment ni kutaka watu wajue kuwa una connection za watu fulani, lakini kwa watu wenye akili unaonekana mshamba tu. Unaanika hapa namba za watu ili iweje sasa, kwamba wajue una namba za watu wakubwa au?? Unajua kuna vitu vinafurahisha sana😄

Sio kwamba Sabaya kuwa na simu haijulikani na wakubwa zake na kama labda ulitarajia maisha ya sabaya hapo kizuizi yatafanana na walalahoi wa kitaa waliofungwa hilo futa kabisa kwenye akili yako. Na sio sabaya tu viongozi wote waliowahi kuingia magerezani wanaishi a normal life.

NB: HAYA WAMEJUA KUWA SABAYA ANA SIMU GEREZANI, what's next?
 
Next ni mkuu wa gereza la karanga atuambie wafungwa watapata wapi simu Akiwa gerezani?
 
Next ni mkuu wa gereza la karanga atuambie wafungwa watapata wapi simu Akiwa gerezani?
Mambo madogo hayo mkuu ninachoshangaa Sabaya ndo kashikiwa Bango of all criminals...!! Daah jamaa atapata tabu sanaa
 
anawahi wapi atulie c yupo picnic
 
Kwahiyo unamfananisha Bakhresa na Sabaya? Umemkosea heshima sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…