Ole Madee yupo wapi?

mmaranguoriginal.

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
4,060
Reaction score
460
wanajamvi ,mbunge wa arumeru magharibi ole madee siku hizi yupo wapi ambaye alivuliwa uwaziri,ni yule ambaye lema alimuita bomu linalokaribia kulipuka,yule ambaye anashutumiwa kupanda mbegu ya ukabila arusha,kwenye bunge la katiba simuoni kabisa yupo huyu mzee jimboni kwake simsikii wananchi wake wanamuulizia kuna ahadi tangu akalie kiti cha ubunge wake hajatimiza
 
Anajiandaa kurudi kijiweni Picasso cafe akaendelee na udalali wa viwanja kama zamani.
 
Njaa imekukonga sana mchaga wewe. Acha wizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…