Oldest Woman

We unadhani anaishi huyo, life at that stage is miserable!, I WANNA BE FOREVER YOUNG!!!
 
We unadhani anaishi huyo, life at that stage is miserable!
nani kakwambia? Ushawahi kufikia umri huo ukau reverse? Umri ni jinsi unavyousikia rohoni,you coukd be twenty ukajihisi na ku behave kama mtu wa miaka 40 na vice versa.
 
Kuna wanadamu hata hawajaufikia ujana wanaingia kwenye u.m.a.l.ay.a. Bangi na viroba + piwa, hakika hawatauona ujana! They just jump from childhood to uzeeni with very short life spurn. Emergine 18 yrs old girl amesex mara nyingi than her mum. Geez
 
Nina imani hapa kwetu Africa kuna ambao wanaumri mkubwa zaidi ya huyu bibi ila hawaandikwi magazetini! Mfano bibi yangu mzaa mama alifariki akiwa na miaka 119!
 
kumbe we mdogo
  1. jeki ndogo ila ________________
  2. reli nyembamba ila _____________

Nina imani hapa kwetu Africa kuna ambao wanaumri mkubwa zaidi ya huyu bibi ila hawaandikwi magazetini! Mfano bibi yangu mzaa mama alifariki akiwa na miaka 119!
dont take it personal but kuna kithibitisho chochote cha hiyo claim? hata mie nimesikia watu wenye 130+ years before but no proof.
 
Bi Kidude je??
Aliyeanza na miaka kumi kwenye majahazi anaweza kuwa mzee kumliko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…