Mkuu file not supported, kama tuma upya kwa makini au niku pm namba yng unirushie whatsapp!!?!Bahati mbaya archive yangu imekosa baadhi ya nyimbo. Huo kosa la marehemu yaani siku zote upo sijui nani kaufuta.
Hebu fanya hivyo tuone kwanza mkuu.Mkuu file not supported, kama tuma upya kwa makini au niku pm namba yng unirushie whatsapp!!?!
Niaje mkuuHebu fanya hivyo tuone kwanza mkuu.
Vp mkuu umefanikiwa kuzipakua zote?Safi sana
NiajeSafi sana
Mkuu umenikumbusha mbali enzi hizo game la mbeya DDG gangster,soggy dog,c pwaa akina crazy mada wa isanga family,adili ana mdogo wake anaitwa ibra mkwera a.k.a magazijuto nae alikua anaweza sanaDr. Wise, Gillbiz, Kambosonic& Muladix, Sun Jacko a.k.a Wacko Goodah, Masteef, Cave Dwellers, Eddie Thang, Isanga Family, Dawg G, Crazy Power Ilunga, Adili Hisabati, Wasape, nani anazijua MTU hizo?
MaTC, MTC, Loleza, Iyunga na Mount Livingston na Mkwenzulu watu wamechana sanaMkuu umenikumbusha mbali enzi hizo game la mbeya DDG gangster,soggy dog,c pwaa akina crazy mada wa isanga family,adili ana mdogo wake anaitwa ibra mkwera a.k.a magazijuto nae alikua anaweza sana
Leo.na tayari lina nyimbo kibao tu ndani yakeHili group limeundwa lini mkuu...?
Leo.na tayari lina nyimbo kibao tu ndani yake