Matovu Godfrey
JF-Expert Member
- Oct 5, 2025
- 813
- 519
๐ ๐ ๐ sogezeni siku karibuView attachment 3487539
RISE UP TANZANIA! ๐น๐ฟ
WAKE UP TANZANIA!
FREE TANZANIA!
SAMIA MUST GO!
STOP ABDUCTIONS I TANZANIA!
FREE POLE POLE!
FREE TUNDU LISU!
NO REFORMS NO ELECTIONS!
View attachment 3487540View attachment 3487541View attachment 3487542View attachment 3487543
#AFRICA_UNITED
#EASTAFRICA
#STRUGGLE_FOR_AFRICA
๐๐น๐ฟ๐บ๐ฌ๐ฟ๐ฆ๐ฐ๐ช
View attachment 3487539

Yupo kwa ajili ya taifa lake pendwaMange nae aje akae mstari wa mbele
Mkuu,download bitchat hata wakizima internet tupo nao
Uko sahihi, kundi lililokata tamaa ni kubwa sana kuanzia maofisini mpaka mtaani. Nimekuwa kwenye vijiwe vingi nikichomekea hii mada, hata maofisini pia. Watu wanasema hawapendezwi kabisa, ila sikuwahi kusikia hata mtu mmoja aliye tayari kuandamana.Swala la wananchi kuikatia tamaa serikali nadhani hili ni zaidi ya 98% ipo kwa nchi nzima.
Kinachokosekana saizi ni hamasa tu ya kutosha kuwafanya wananchi wajihami kuandamana hiyo siku ya tarehe 29.
Na kuna watu naamini wameshikilia hiyo silaha ila wanangojea tu muda ufike waiachie, wanajua wakiitoa saizi kuna kipindi kirefu kuifikia siku hiyo so zile hasira, motisha zinaweza kupungua hivyo wanasubiri kwenye zile tarehe za mwishoni mwishoni kuelekea 29 waziachie.
Saizi yanaoneknana ni mapambano yanayofanywa na kundi dogo la watu lakini huko tunakoelekea kuikaribia hiyo siku kuna wimbi kubwa la ongezeko wa watu kuunga mkono haya maandamano.
Saizi kinachofanyika ni kwamba wanasubiri karibu na deadline watoe mabomu ambayo yatayochochea hamasa itayofanya watu wengi wajitokeze kuandamana.
Huko mbeleni tutarajie watu wazito zaidi ya Captain Tesha na wengine wanaweza kujitokeza kuungana na wananchi na kuongeza morale na hamasa.
Sio kwamba hawataki tu kuandamana kwasababu wameshiba, ila hawa mapolisi wetu wakipewa fursa ya kuzuia vurugu huwa hawapigi kutuliza ghasia, wanapiga kuua.Uko sahihi, kundi lililokata tamaa ni kubwa sana kuanzia maofisini mpaka mtaani. Nimekuwa kwenye vijiwe vingi nikichomekea hii mada, hata maofisini pia. Watu wanasema hawapendezwi kabisa, ila sikuwahi kusikia hata mtu mmoja aliye tayari kuandamana.
Hapa ndio hoja ya Kigwangala inakuwa kweli kwamba mtanzania anayeshiba hawezi kuandamana.
USA au Bongo?๐Yupo kwa ajili ya taifa lake pendwa
Wewe wajua!USA au Bongo?๐
That's the power of the people ๐ช
Hapana. Sio ccm wote ni wabaya. Wala viongozi wote wa serikali. Msije umiza watu wasiohusika kwa mob movement.Maelekezo Maalum kuhusu tarehe 29 Oktoba.
Siku hiyo kazi ni rahisi sana
Viongozi wa CCM tunaishi nao mitaani; Nyumba zao zipo mitaani kwetu, mali zao zipo mitaani kwetu.
Ofisi za CCM zipo mitaani kwetu. Ofisi za Umma nazo zipo mitaani kwetu
VItuo vya kupigia kura vipo mitaani kwetu
Mawaziri, Wabunge na Madiwani tunaishi nao mitaani kwetu, familia zao na ndugu zao tunaishi nao mitaani kwetu
Tukafanye kazi iliyotukuka hiyo Oktoba 29 hadi hawa Mafisadi watuheshimu na wakome kutuchezea na kutuua.
Share na mwenzako
Ushauri wangu kwa jeshi la polisi, hiyo siku ya maandamano, wagome kwenda kazini, maana kitendo cha kuvaa sare za jeshi la polisi na ukawa barabarani basi unakuwa kwenye hatari ya kifo kwa kushambuliwa na wananchi maana hadi sasa watanzania wengi wanaamini askari ndo watekaji na wauaji, mwananchi yoyote hiyo siku akimuona polisi ni sawa na kumuona muuaji na atapambana yeye.Swala la wananchi kuikatia tamaa serikali nadhani hili ni zaidi ya 98% ipo kwa nchi nzima.