Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,784
Juzi Mh Rais alisema kuwa hata hapa Dar Es Salaam kuna kinu cha kuyeyushia madini lakini hakutaja kiko wapi.
Kinu hicho kinapatikana maeneo ya Vingunguti na kinamilikiwa na kampuni ya OK plastic. Kwa sasa hawa jamaa wanakitumia kinu hicho kuyeyushia na kusafishia copper from scrap metal.
Serikali ikajaribu kuongea na hawa wawekezaji waone kama wanaweza kuchukua kontena moja la majaribio na kuliyeyusha ili kutoa hayo madini ambayo tumeaminishwa kuwa yana mchanga mwingi wa dhahabu kuliko tulivyokuwa tumedanganywa.
Pia hata hivi viwanda vya kutengenezea nondo vinao uwezo wa kuyeyusha huo mchanga kwa kuwa wamekuwa wakiyeyusha chuma. Nadhani teknolojia ya kuyeyusha ni the same na haitofautiani sana.
Kama hilo litakuwa gumu tunaweza kutengeneza kinu chetu wenyewe 'kimagumashi'...
Yani tununua Oxyacetlyne gas pale TOL, then tunatumia hiyo gesi kuchemishia hayo makinikia. Kwa moto wa Oxy acetyline, lazima hayo makinikia yatayeyuka tu. Then kinachofuata hapo ni kuongezea tu mashine ya separator ambayo itaweza kutenanisha haya madini ghafi...
The whole process is as simplea as ABC...