Msomali Mweusi
Senior Member
- Jan 20, 2018
- 100
- 70
- Thread starter
-
- #61
Mtuchukie au mtupende sisi tunapeta kama kawaida na Haki yangu ya kikatiba siwezi muomba mtu yeyote na kwa tarifa yako Mjinga mja hawezi fanya nichukie idara mja au nyingine kwa ujinga wake. Hao wazee wakisomali kama walifanya ujangili hio ni shida yao na mbele ya mungu watapokea malipo ya hayo maovu.Mjukuu wa majangili nisikize wakinga pia tuna makosa mengi toka kwa wazee wetu kama mauchawi ,makafara ila hawakuumiza wasio wakinga ... wewe unaonekana teenager hujajua madhara ya hao great grand father wako enzi za 80's kulikuwa hakuna benk mawilayani wafanyabiashara tulikuwa tunatembea na cash ,njian lazima uone namna ya kukwepa wasomali mm personally niliwahi kwenda kuuza soda njombe wakati wa kurudi wasomali wakaomba lift (kumbuka derava alikuwa msomali) tatizo ni waliposimama ni eneo la wanyama wakali halafu jamaa anataka asimame washilikiane na magreat grand father wenzie hakujua nilikuwa na chuma nikamuwekea kichwani hadi naingia iringa mjini NBC ,mimi siwezi kukuchukia wala kukuhukumu kwa rangi yako ila watu sio wanakuonea ila matendo waliyoyashuhudia ya wazee wako yanaamsha uchungu kwa muonekano wako hata marekani wanawachukia sana (i lived there)
Asante kwanza mimi huo sitembei na ID.Hii nchi ya wote,fanya mambo yako,kula bata kama kawa,watu wengi asili yao ni kubaguana.mtu akikuomba Id na wewe muombe id,
Mbona hata somalia kwenyewe kila siku wanazinguana wakati ni watu wamoja kabisa.
Gaidi!!! We Pimbi kweli Gaidi ckuhizi ni kazi kama kazi zingine kama vile. Daktari, mkurugenzi, Dreva, usiwataje watu hao hapa kwetu hatuna.acha kusymphasize magaidi
Thanx manPole sana ..U are Just victim caught with crossfire
Nimetoa ya moyoni, ila siwezi kujigenga.Jinsi lugha uliyotumia tu kueleza shida yako automatic unajitenga mwenyewe
Mimi nmekuelewa unafikiriNimetoa ya moyoni, ila siwezi kujigenga.
Kwani mimi nilisema mimi mswahili?? Tuna makabila 124 na kila kabila lina lugha yake acha ushamba Dogo.Mimi nmekuelewa unafikiri
Unajifanya msomali hutaki hata lugha yako ya Tz harafu unalalamika nini?
Hatutaki ujinga sisi uende tu kwenu mpuuzi wewe kiswahili hujui harafu ni mtz
Usilalamike sasa unatengwa kama wewe si mswahili unajitenga mwenyewe na jamii iliyokuzunguka.Kwani mimi nilisema mimi mswahili?? Tuna makabila 124 na kila kabila lina lugha yake acha ushamba Dogo.
Poa Babu weye Yaishe na Tuishi kama zamani.Usilalamike sasa unatengwa kama wewe si mswahili unajitenga mwenyewe na jamii iliyokuzunguka.
Harafu usipende kuita watu dogo
Achana naye huyu sio mtanzania hajui wenzie uswahili ndo fahari yetu ,tena anaita watu dogo asiowajua,Hebu rudi kwenu tumekusaidia kutouliwa mogadishu unaanza kudeka deka hapaUsilalamike sasa unatengwa kama wewe si mswahili unajitenga mwenyewe na jamii iliyokuzunguka.
Harafu usipende kuita watu dogo
Nirudi wapi??kwa kweli Wabongo ni watu waa Ajabu, mimi namini mimi na nyie tukienda uhamiaji mnaweza baki huko mja kwa mja, kwa sababu hata cheti cha kuzaliwa hapo ulipo unaweza ukawa hauna. Na tena si majabu unaweza ukawa na Asili ya DRc, Rwanda,au Burundi.Achana naye huyu sio mtanzania hajui wenzie uswahili ndo fahari yetu ,tena anaita watu dogo asiowajua,Hebu rudi kwenu tumekusaidia kutouliwa mogadishu unaanza kudeka deka hapa
Acha maneno mogadishu wamekumiss babu zako walikuja baada ya uhuru tukiprove hawakuuomba uraia tu ni siku ya furaha kuungana na jamii yakoNirudi wapi??kwa kweli Wabongo ni watu waa Ajabu, mimi namini mimi na nyie tukienda uhamiaji mnaweza baki huko mja kwa mja, kwa sababu hata cheti cha kuzaliwa hapo ulipo unaweza ukawa hauna. Na tena si majabu unaweza ukawa na Asili ya DRc, Rwanda,au Burundi.
Asante kwa ujumbe mzuri.Ooohhhh
Dont ignore urself rafiki
Dont low self esteem urself
Kumbuka unavyojichukulia vibaya ndivyo na watu wanakuchukulia hivyo.
Lakini kwanini uhisi watu wanakuwaza hivyo wakati hauko akilini mwao??!!u guess so aaaahhh
Nigga dont blame urself for anytng.
We live once.
Life is short cheer it up and be humble
Aise sio kila Msomali ni wa Mogadisho!! We gone hicho kisomali hata salamu chenga!Acha maneno mogadishu wamekumiss babu zako walikuja baada ya uhuru tukiprove hawakuuomba uraia tu ni siku ya furaha kuungana na jamii yako
Sina mpango wa kuua tembo wala kuteka meli kisomali cha nini ? by the way lets end nakutakia jioni njema mkuu.Asante kwa ujumbe mzuri.
Aise sio kila Msomali ni wa Mogadisho!! We gone hicho kisomali hata salamu chenga!
Poa jioni njema nawepia , AsanteSina mpango wa kuua tembo wala kuteka meli kisomali cha nini ? by the way lets end nakutakia jioni njema mkuu.