Ogopa sana ku-date na mwanamke ambaye hana akili

Utatukanwa sana kijana. Kosa lako umejisifia kuwa kwenu mna duka, mashine tatu, wewe ni HB mzee wa pamba n.k

Ukitaka usitukanwe jf lete uzi wa masikitiko mfano sina kazi, sijala siku tatu, natafuta kazi hata ya saidia fundi, naumwa figo, nimefiwa na baba n.k hapo utakuwa rafiki yetu hatutakutukana.
 
Yah mkuu naamini sio wote pia ila si unajua samaki mmoja akioza mkuu. Leo hii huyu akijinasibu ni mtu kutoka chuo fulani, wanafunzi wote wa chuo hiko wataonekana hamnazo kama yeye.
Anaonekana ndio nature yake, anapenda bata, ku-shine n.k, sio mbaya kwa upande wake.
 
Wewe Na huyo dem wote Hamna akili na inaonekana hata huyo mwanamke amekuzidi akili japo wew unadai umemaliza chuo! Unastahili uchapwe fimbo nyingi sana msomi hawezi shusha thread yakipumbavu km hii
Mtoa mada inabidi apigwe shoti ya umeme kwenye ubongo ili kureset settings zake to default...

Sio siri ni zwazwa la karne, pia ana pigo za kitoto sana huyo jamaa..
 
Kipimo cha akili ulichokitumia kutambua kuwa huyo dem hakuwa na akili ni kipi? Isijekuwa ww ndio haukuwa na akili
 
Utatukanwa sana kijana. Kosa lako umejisifia kuwa kwenu mna duka, mashine tatu, wewe ni HB mzee wa pamba n.k

Ukitaka usitukanwe jf lete uzi wa masikitiko mfano sina kazi, sijala siku tatu, natafuta kazi hata ya saidia fundi, naumwa figo, nimefiwa na baba n.k hapo utakuwa rafiki yetu hatutakutukana.
Kwamba kiufupi, hatupendi kuona au kusikia mwana ana mafanikio siyo!
 
Back
Top Bottom