Ogopa kupata nuksi au nyota yako kushuka

Mada kama hii, wachangiaji na watoaji shuhuda wengi ni wapigaji!

Hii ina jina lake, inaitwa 'kujazia!'

Wabeshi sio watu wazuri kabisa!
 
nayejua formula ya kuchanganya madawa ya kisheria au mafuta yaliyo somewa kusomo karibu tusaidiane
kaka nikwambie kitu, kinachokusumbua wewe ni mizimu ya kwenu ambayo inataka kuabudiwa - kwa hiyo inakukwamisha maksudi ili usifike mafanikio unayotarajia - ukwame kwanza kisha urudi uiabudu. Kumbuka Mizimu ni roho za mababu za kila koo ambazo zinaishi kizazi na hata kizazi.

Mchawi hawezi kuchezea nafsi yako kirahisi, ni lazima ajue kwanza tambiko lako hivyo labda apitie kwa ndugu yako kwanza... so kwa hiyo nuksi uliyonayo ni ya kurithi toka mababu zako, mizimu yenu ya ukoo inakupa adhabu wewe na wenzao mmegoma kuiabudi au kwa maksudi ama hamjui.

Cha kufanya sasa, you have two options.

1. Jaribu kutafuta watu wanaoweza kukusaidia hiyo mizimu yenu iongee inataka nini ili ufanye ili ikuachilie, na ni lazima ufundishwe ujue namna ya kuiabudu ukifanya hivyo mambo yako yatakuwa mazuri - hujarogwa wewe.

2. Sali/ funga na Muombe Muumba wako kwa dini yako, funga na mlilie utafunguliwa - tena kama wewe ni mkristo ni kazi rahisi mno maana damu ya Yesu ipo bure kwa ajili yako maana ilikwisha toka pale karivali.

Ningekuwa mimi ningechagua option no 2...its simple and permanent.

Kila la kheri.
 
Wana heri sana wanaomjua Bwana Yesu na nguvu zake, hakuna cha mzizi, chumvi, mganga au nini. Ni kwa Jina la Yesu tu nuksi zote huondoka mara moja. Mtafute Yesu Kristo utapona mara moja.
Habari za muda huu wana JF! Leo nazungumzia jinsi navyopitia mapito,

Kwanza nianze kwa kusema mimi mr future naamini uchawi upo kwa 100%

Ilianza kama utani kila jambo jema lilianguka katika mzunguko wa maisha yangu, nilipoona mambo hayaendi niliamua kutumia chumvi ambapo nilijifunza matumizi yake humu humu kipitia threads za Mshana Jr , ilikuwa 2019 nilipata ahueni kidogo, lakini hivi sasa nahisi mambo magumi mikosi imeniandana, lakini nikawa nachukulia poa, lakin nikajikuta Nimeachika kwenye mahusiano yote, nikashangaa nikitembea nakutana na vichaa wanaanza kunipigia kelele bila woga dah, nikaanza kufatilia dailil nikagundua ni nuksi tu.

Siku hizi kila nalopanga linaanza vema likifikia kwenye touch line, linafel roho inakuwa inasonona kila mwanamke naye mfata anachomoa nikasema labda vigezo ila nizidi kuona mazigaz hata salamu sikumbukwi na ndugu hata marafiki, nikaanza kutumia kuna formula za madawa ya kutoa nuksi lakin hola

Moja ya formula alitoa bwana rakims lakin nikafatilia maelezo yake huwa hayako vzuri so nashindwa kuelewa vizuri, miez kadhaa ilopita nikatumia mafuta fulani ya kuondoa nuksi si haba yalinisaidia kdgo lakin nilpoacha tu gundu ikarudi,

Lengo la kuandika thread hii ni kutaka msaada najua wapo wengi humu kama mimi

Anayejua formula ya kuchanganya madawa ya kisheria au mafuta yaliyo somewa kusomo karibu tusaidiane

NB: Hata simu nimeazima nispojib comment mtanisamehe,

Wafatao nimefatilia thread zao wana jua haya mambo
cc:
Mshana Jr
Rakims
MZIZI MKAVU
Pasco mayalla

Karibu
 
kaka nikwambie kitu, kinachokusumbua wewe ni mizimu ya kwenu ambayo inataka kuabudiwa - kwa hiyo inakukwamisha maksudi ili usifike mafanikio unayotarajia - ukwame kwanza kisha urudi uiabudu. Kumbuka Mizimu ni roho za mababu za kila koo ambazo zinaishi kizazi na hata kizazi.

Mchawi hawezi kuchezea nafsi yako kirahisi, ni lazima ajue kwanza tambiko lako hivyo labda apitie kwa ndugu yako kwanza... so kwa hiyo nuksi uliyonayo ni ya kurithi toka mababu zako, mizimu yenu ya ukoo inakupa adhabu wewe na wenzao mmegoma kuiabudi au kwa maksudi ama hamjui.

Cha kufanya sasa, you have two options.

1. Jaribu kutafuta watu wanaoweza kukusaidia hiyo mizimu yenu iongee inataka nini ili ufanye ili ikuachilie, na ni lazima ufundishwe ujue namna ya kuiabudu ukifanya hivyo mambo yako yatakuwa mazuri - hujarogwa wewe.

2. Sali/ funga na Muombe Muumba wako kwa dini yako, funga na mlilie utafunguliwa - tena kama wewe ni mkristo ni kazi rahisi mno maana damu ya Yesu ipo bure kwa ajili yako maana ilikwisha toka pale karivali.

Ningekuwa mimi ningechagua option no 2...its simple and permanent.

Kila la kheri.

Ahsante mkuu kwa ushauri mzuri wa kiwango cha Fry over, nitaufanyia kazi
 
Nakumbuka ilikuwa ni siku ya kuadhimisha misa ya marehemu wote(all souls day, 2 November), padri aliyesalisha siku hiyo alitupatia neno.

Wakati fulani akiwa paroko parokia moja aliwahi kufuatwa na kijana ambaye alikuwa anajiona ana mikosi na nuksi zote.
Kijana huyo alimwambia baba padri kuwa alikuwa akifanya kila jambo halifanikiwi. Hata alikuwa akipata kazi baada ya muda mfupi tu atafukuzwa au ataacha tu yeye mwenyewe kwa uzembe wake.

Basi baba padri katika kumuhoji akagundua kuwa kijana yule katika malezi yake alilewa na mama yake mzazi pekee lakini alikuwa ameshatangulia mbele ya haki.

Basi baba padri akamshauri kijana akaombe misa kwa ajili ya marehemu mama yake mzazi na pia afunge na kusali novena ya siku 9.

Basi yule kijana alikuja kumtafuta baba padri miaka ya baadae na kutoa shukrani zake. Kwa ufupi ni kuwa apokea baraka zake.
mkuu napitia magumu nimesha poteza kila kitu nisaidie mwanga nifike kwa padri 0694185384
 
Habari za muda huu wana JF! Leo nazungumzia jinsi navyopitia mapito,

Kwanza nianze kwa kusema mimi mr future naamini uchawi upo kwa 100%

Ilianza kama utani kila jambo jema lilianguka katika mzunguko wa maisha yangu, nilipoona mambo hayaendi niliamua kutumia chumvi ambapo nilijifunza matumizi yake humu humu kipitia threads za Mshana Jr , ilikuwa 2019 nilipata ahueni kidogo, lakini hivi sasa nahisi mambo magumi mikosi imeniandana, lakini nikawa nachukulia poa, lakin nikajikuta Nimeachika kwenye mahusiano yote, nikashangaa nikitembea nakutana na vichaa wanaanza kunipigia kelele bila woga dah, nikaanza kufatilia dailil nikagundua ni nuksi tu.

Siku hizi kila nalopanga linaanza vema likifikia kwenye touch line, linafel roho inakuwa inasonona kila mwanamke naye mfata anachomoa nikasema labda vigezo ila nizidi kuona mazigaz hata salamu sikumbukwi na ndugu hata marafiki, nikaanza kutumia kuna formula za madawa ya kutoa nuksi lakin hola

Moja ya formula alitoa bwana rakims lakin nikafatilia maelezo yake huwa hayako vzuri so nashindwa kuelewa vizuri, miez kadhaa ilopita nikatumia mafuta fulani ya kuondoa nuksi si haba yalinisaidia kdgo lakin nilpoacha tu gundu ikarudi,

Lengo la kuandika thread hii ni kutaka msaada najua wapo wengi humu kama mimi

Anayejua formula ya kuchanganya madawa ya kisheria au mafuta yaliyo somewa kusomo karibu tusaidiane

NB: Hata simu nimeazima nispojib comment mtanisamehe,

Wafatao nimefatilia thread zao wana jua haya mambo
cc:
Mshana Jr
Rakims
MZIZI MKAVU
Pasco mayalla

Karibu
Chumvi ya mawe tia kwenye kopo iwache iyayuyuke then engeza kidogo mkononi ili ujisugulie kama sabuni alafu jimwagie huku ukijisemea kiroho kua unaondoa mikosi Na nuksi Fanya ndani ya sik 3
 
Back
Top Bottom