Hance Bange
Member
- May 13, 2018
- 18
- 7
sawa nn sasa ?Sawa.
Tusichelewe.sawa nn sasa ?
Mambo yanayoichelewesha Afrika ni umasikiniKuchelewa ni miongoni mwa tabia ambazo hutukosesha matunda ya kuwahi kufanya jambo.
Ni muhimu sana kujitahidi kujenga tabia ya kuwahi kufanya jambo lililokusudiwa kwa dhamiri yako.
Mambo mawili ambayo ninaona yanatuchelewesha waafrika hasa watu wanaoishi vijijini ni:
1. Imani ya kishirikina.
2. Mila na desturi potofu.
Siku moja, Mkuu wa wilaya ya wanging'ombe alikuwa akiendesha mkutano.Jogoo akajitokeza na kuwika katikati ya kundi la watu.Meza ikampotezea.Watu wanajamii waliendelea kujihoji ni nini maana yake? Eti, aaah! haijawahi kutokea.
Ni wakati wa kujenga tabia ya kuwahi kwa kila jambo.Iwe kanisani, mkutanoni, kuwahi kurudi nyumbani, tena;
TUFANYE HARAKA KUONDOA MITAZAMO HASI, TUSICHELEWE.Hasa katika kipindi hiki kigumu cha mageuzi ya kiuchumi.
Hapo sasaSasa jogoo kuwika mkutanoni kuna husiana vipi na hii 'mada pendwa'?
Kwamba kila kitu watu wanakihusisha na imani za kishirikina kwahiyo vitu vingine wanatakiwa wavichukulie kawaida na siyo kuviona vya ajabuSasa jogoo kuwika mkutanoni kuna husiana vipi na hii 'mada pendwa'?
Hapo sasa
.Kwamba kila kitu watu wanakihusisha na imani za kishirikina kwahiyo vitu vingine wanatakiwa wavichukulie kawaida na siyo kuviona vya ajabu
Ushirikina kiboko sana, siku moja niliamka asubuhi kama kawaida kuwahi ofcn, nikakutana na kitu cha ajabu kidogo, nikakuta mtu ameandika maandishi ya Quran ukutani, halafu tena chini kwenye kisehemu kumemwaga zaga la cement, mlangoni mwa choo cha nje, ukutani mwa choo cha nje, kwenye tairi za gari.Mkuu imani za kishirikina zinatupotosha na kutuchelewesha kweli, inafika mahala mtu anawaza kua nikifanya jambo la maendeleo wenye roho mbaya watanitanguliza!
Kwa mwenendo huo tutachelewa sana.
Aisee umeongea jambo lamsingi na sumbufu kwa wengi sana sasa hivi. DuuTuwahi katika kila kitu, ila tusiombe kuwahi kufika kileleni wajameni.