Oesophagogastroduodenoscopy huwa inafanywa hospitali ya mkoa nadhani na huwa inafanywa na daktari wa magonjwa ya tumbo (Gastroenterologist). Kwa huko kwenu gharama sizifahamu.
Ila swali langu ni kwamba,wewe umejuaje kuwa unatakiwa kufanya hiyo procedure? Na aliyekuambia kuwa unatakiwa kufanya hiyo kitu,hajui hospitali inayofanya ? Nakushauri uanzie kwanza hospitali ya hapo mafinga ili dactari wahapo akupatie ushauri mzuri. Siku njema.