Je umewahi kukumbana na kadhia kma uchafu, kunguni, Kelele,bei ghali ya vyumba, umbali mrefu kwenye vyumba vya kulala wageni (guest house)? OGAH room's inakuwezesha kufanya booking katika vyumba zaidi 800 kiganjani mwako jijini Mwanza kwa bei ya chini 8000--15000/=.sifa za vyumba
-vyumba vyote ni self container
-vyumba vyote vina feni na vitanda vya 5 kwa 6
-80% ya vyumba vina TV, heater, na fensi yenye parking za magari
-vyumba vyote vina maji 24/7(simtanks)
-vyumba vyote vina vigae, gypsum /ceiling board
-haviko mbali na barabara kuu hutaitaji garama za ziada kufika
-- sehemu tulivu zisizo na kelele
Huitaji tena kuzunguka kutafuta vizuri na vya bei rahisi ukiwa jijini Mwanza. Tupigie kwa namba 0754553081 au 0674553081 kila siku kuanzia saa moja asubuhi mpk saa nne usiku. Kumbuka huduma hii ni bure bila malipo yoyote. Karibuni sana