mkutano ya barabara ya msimbazi na mafia,km unatoka round about unaelekea fire,ukifika big bon ingia mtaa wa mafia mkono wa kushoto,nida ipo nyumba ya pili ama ya tatu mkono wa kushoto
mkutano ya barabara ya msimbazi na mafia,km unatoka round about unaelekea fire,ukifika big bon ingia mtaa wa mafia mkono wa kushoto,nida ipo nyumba ya pili ama ya tatu mkono wa kushoto
Panda magar ya posta mpya,shuka hapo posta,ukishuka 2,iliko elekea gar nyoosha moja kwa moja kama unaenda fer,mkono wako wa kushoto uwe unasoma mabango,utaona bango la nida
Nakushauri uiandae kwa maswali na ujue ulikotoka na tangu utotoni na cheti cha kuzaliwa.Pia kama n mkimbizi bora usijaribu kurusha mguu pale jama wana maswali balaa.
Huwezi ukapigiwa simu peke yako wakati zoezi la kupiga picha huwa ni la watu wengi. Hao wtakuwa ni vijana wa usalama wametilia mashaka uraia wako! Lakini nenda tu, ila uache wosia kueleza nani akuangalizie mali zako wakati wa kipindi cha mpito!

Acha kutisha watu bana!!lakini umenichekesha sana.Kuna meseji walitumia watu hawa jamaa wa Nida njoo kwa uhojiwe na maafisa wa uhamiaji na wang'oa kucha kwa ajili ya kitmbulisho cha taifa.Ujumbe ulivyokuwa unatisha hata raia halali wamekimbia vitambulisho vyao ni wachache sana wameenda