Ofisi za Bolt kufungwa

Chupayamaji

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2017
Posts
5,779
Reaction score
13,704
Sasa yapata miezi sita ofisi za Bolt zimefungwa bila taarifa na hawajulikani waliopo, na Wanafanya kazi na na kuendelea kupokea commission kutoka Kwa madreva na Abiria na Mamlaka husika zipo kimya.

Kampuni imejisajili kufanya kazi hapa nchini lakini Haina ofisi hapa nchini je serikali haioni hili ni tatizo Kwa nchi?

Kwani nani yupo nyuma ya Hawa bolt madereva wanalalamika kuibiwa pesa Zao za miamala ila hawana usaidizi wowote.

 
Jana nilikutana na jamaa pale Mlimani City Mall anagawa vipeperushi vya kampuni mpya ya usafiri mtandaoni kwa jina la FARASI.

Aliniambia ni kama Bolt,Ubber na nyinginezo..mmiliki wake ni Msomali.

Ipo Google play store.
 
Kuna mwamba kapakia abiria kutoka Morocco hadi Bunju ikasoma 4000 ikabidi akamshushie Ngerengere na kumuacha huko huko. Hawa Bolt sio kabisa.
Pia anaweza mfikisha abiria wakamwambia asilipe wamempa ofa.Wakati dreva katumia mafuta.Sasa jinsi ya kuwapata ili wakucompasate huwapati Kwa kuwa hamna ofisi pia hawana mawasiliano ya Moja Kwa Moja kama Whatsapp namba za simu.
 
Kuna siku niliitisha ubungo kailriakoo ikaniletea garama laki moja na nusu, nika cancel nikaomba tena ikaja 175,000.

Ngoja nione kama niliscreen shot nishee na nyie, ikabid niogope maana hiyo ni garama ya ndege Dar to Mwanza
 
Pia anaweza mfikisha abiria wakamwambia asilipe wamempa ofa.Wakati dreva katumia mafuta.Sasa jinsi ya kuwapata ili wakucompasate huwapati Kwa kuwa hamna ofisi pia hawana mawasiliano ya Moja Kwa Moja kama Whatsapp namba za simu.
Kuna siku wakati nafanya huduma hii,nilipata mteja kutoka kariakoo makutano uruhu na msimbazi, mteja alikuwa anakwenda chanika kwa ngwale, nikatoka pale mpaka machinga nikaingia nyerere road,mpka chanika namaliza safalu inakuja 20500 kumbe mteja kwake ilisoma 6000, itabidi anipe 10000, mm nikawaandika emai juu ya changamoto hiibaada ya siku kadhaa wakaniingizia pesa yangu kwenye airtel yangu
 
Pia anaweza mfikisha abiria wakamwambia asilipe wamempa ofa.Wakati dreva katumia mafuta.Sasa jinsi ya kuwapata ili wakucompasate huwapati Kwa kuwa hamna ofisi pia hawana mawasiliano ya Moja Kwa Moja kama Whatsapp namba za simu.
Bolt sio mtandao wa bure...dereva pia anawalipa Bolt hivyo ikitokea Trip ya kucompasate hiyo pesa inapunguzwa kwenye deni la dere
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…