mbona hata CHADEMA tangia ianzishwe haijajenga hata ofisi moja nchi nzima zaidi ya kuishia kupanga kwenye vibanda. hata ofisi kuu ya akina Mbowe jengo lile siyo LA kwenu mmepanga. hivyo kabla hujaicheka ACT washauri kwanza chama chako kijenge hata ofisi moja tu