Huwa nashindwa kuelewa je ndivyo ilivyo au ni kutokupangilwa tuu ofisi ya Waziri mkuu kutokuwa na msemaji wa kutoa taarifa sahihi kwa barua kama ilivyo kwa Zuhura Yunus pale Ikulu hii imeleta sintofahamu nyingi kiasi hata watu WANASEMA hadharani Waziri Mkuu kaongopa na hakuna kanusho lolote tunaomba basi kama hiyo Kurugenzi ya Mawasiliano ipo ifanye kazi yake ya kutoa taarifa sahihi za ofisi hii kubwa