naunga mkono hoja hawa watu sijui kwa nini serikali inaendelea kuwaajiri unakuta HR wapo watatu wilaya moja lakini utendaji ni FHabari ndugu zangu.
Kwa kufipi leo napenda kuleta maada hapa..kuhusu vitengo hivi viwili kwenye sekta au mashirika ya serikali.
Na maada yenyewe ipo Katika mfumo wa maswali Kama ifuatavyo;
Je uwepo wa ofisi ya rasilimali watu ( Human resource office) inamanufaa yoyote kwa wafanyakazi Katika taasi husika?
Pili. Nini matatizo ya ofisi ya manunuzi (Procurement office) sehemu unayofanya kazi, AU uliyowai pita?
Tatu, Nin kifanywe na serikali/ taasisi kuzifanya ofisi hizi zifanye kazi kwa weledi, umakini na viwango?
Binafasi nafikiri ofisi mbili sehmu nyingi ni majipu.
Kwa Uzoefu wangu mdogo, ofisi ya rasilimali watu haina tija yoyote kwa wanyakazi,ni ofisi inayotesa wafanyakazi.
Mambo au masilahi mengi ya wafanyakazi hukwamishwa na ofisi hii.
hii ni kinyume na ethics za professional hii.
Ni nn maoni yako?
Karibu tuelimishane

Asante kwa mchango, Sina personal attack ya kitengo chochote...na tuwe open minded tu kujadili hili kwani mficha Uchi hazai.Matatizo yaliyokukuta wewe katika taasisi yako unayafaunayafalnya kuwa matatizo ya taasisi zote. Tuoneshe Utafiti ulioufanya hadi kufikia hitimisho hilo na je ulichukua sample ya Taasisi ngapi?
Moja ya sababu kwa nn hali inakuwa mbaya sehmu nyingi maosofisini ni sisi watanzania kuteteana na kuunga mkono uozo, usisubiri mpka ukutwe na uamini kwamba ni hiyo kitu ni kweli.Matatizo yaliyokukuta wewe katika taasisi yako unayafaunayafalnya kuwa matatizo ya taasisi zote. Tuoneshe Utafiti ulioufanya hadi kufikia hitimisho hilo na je ulichukua sample ya Taasisi ngapi?
Lkn pia sio Kila hoja inayoletwa hapa lazima iwe imefanyiwa utafiti...hii pia inaqeweza kuwa sehm ya utafiti..labda uniambie hujui kazi ya jukwaa hili.Matatizo yaliyokukuta wewe katika taasisi yako unayafaunayafalnya kuwa matatizo ya taasisi zote. Tuoneshe Utafiti ulioufanya hadi kufikia hitimisho hilo na je ulichukua sample ya Taasisi ngapi?
Mkuu acha kubisha karibu kwenye kampuni zote za kibongo uozo ni huo huo.Matatizo yaliyokukuta wewe katika taasisi yako unayafaunayafalnya kuwa matatizo ya taasisi zote. Tuoneshe Utafiti ulioufanya hadi kufikia hitimisho hilo na je ulichukua sample ya Taasisi ngapi?