kamgisha rweyongeza
Member
- Oct 21, 2018
- 68
- 25
Naomben mawazo kwa weny uzoefu au wanaofanya bznez hii. Ninataka kufungua kampuni ya kukopesha je nizingatie nn na niepuke kipi
Ok mkuu najaMkuu ili kupewa ushauli professional kuna gharama zake Kwani kuna mambo kibao ya kukushauli kuhusu biashara ya microfinance kama upo interested njoo PM tupeane number upewe ushauli professional kwa masaa mawili