masatujr1985
JF-Expert Member
- Oct 27, 2011
- 1,980
- 789
Ofisi zote Mkuu....??? Yaani tuseme kada yako ni ya Afya faili lako unalitafuta ofisi ya Ujenzi, Maliasili, M.Jamii...nk utaonekana kituko.Wale dawa yao ukiona faili linakosa na wanakuzingua wewe ingia ofisi zote za halmashauri ukijidai kulitafuta utaona wanavyokuwa wadogo na viuso vyao vilivyojaa mikorogo.
Kwanini masijala ziendelee kuwa manual?
Wenzetu walisha achana na mambo ya kukimbizana na mafaili
Automatic inakuwaje kakaKwanini masijala ziendelee kuwa manual?
Wenzetu walisha achana na mambo ya kukimbizana na mafaili
Automatic inakuwaje kaka
Mkuu wao ni OS usifike kwa HROfisi zote Mkuu....??? Yaani tuseme kada yako ni ya Afya faili lako unalitafuta ofisi ya Ujenzi, Maliasili, M.Jamii...nk utaonekana kituko.
Nashauri ukiona masijala wanazingua unaenda kwanza kwa Mkuu wao ambaye ni Afisa Utumishi akusaidie asipotoa msaada unaenda kwa Mkurugenzi
Wameshajikatia tamaa mkuu hao watu. Niliwafundisha baadhi tulikua nao kwenye mradi. Baada ya siku kadhaa naenda kutafuta file hawalioni na hawana jinsi ya kujua lilipoSijasema automatic nimesema ziwe digital ili kurahisisha usafirishaji, utafutaji etc
Kuna vijitabia fulani wengi wao wanavyo, halafu ni kama wameambukizana vile, kuna baadhi wamewazoesha kuwapa chochote kitu ili kuwaharakishia huduma, wanaelewa kabisa file liko wapi kwa muda huo lakini unazungushwa kama pia.Hasa serikalini masjala zao sijui za kazi gani maana hata kutafuta mafile hawawezi. Nilishawawashia moto halmashauri fulani hivi walichelewesha barua ya kuapprove malipo niliwatolea nyongo mpaka wakaomba msamaha wamama watu wazima
Haya ndio madhara ya kuwapachika watu ambao sio professionals, ili kuziba gap..Salaam wandugu,
Naandika uzi huu kutoa dukuduku langu juu ya ofisi na watumishi wa masijala popote hapa nchini. Hizi ofisi zimekuwa na watu wasumbufu sana, wasiojali muda wa mtu na wanapenda kunyenyekewa!
Katika kuelekea Tanzania ya viwanda, natoa rai kwa watu wa hizi ofisi wabadilike sana saaaana.
Ni hayo tu.
J3 njema.
WAPUUZI SANA HAO WATU, Wamakuangalia kama picha ya raisSalaam wandugu,
Naandika uzi huu kutoa dukuduku langu juu ya ofisi na watumishi wa masijala popote hapa nchini. Hizi ofisi zimekuwa na watu wasumbufu sana, wasiojali muda wa mtu na wanapenda kunyenyekewa!
Katika kuelekea Tanzania ya viwanda, natoa rai kwa watu wa hizi ofisi wabadilike sana saaaana.
Ni hayo tu.
J3 njema.
Aiseee huyu wa huku kwetu ukifika hapo dirishani anakuangalia kama nyauuu pori na lile li uso lake bayaaa huwa ananikera hana ushirikiano amenuna salam haitikii jaman