Ofisi na Watumishi wa Masijala

Ofisi na Watumishi wa Masijala

masatujr1985

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2011
Posts
1,980
Reaction score
788
Salaam wandugu,

Naandika uzi huu kutoa dukuduku langu juu ya ofisi na watumishi wa masijala popote hapa nchini. Hizi ofisi zimekuwa na watu wasumbufu sana, wasiojali muda wa mtu na wanapenda kunyenyekewa!

Katika kuelekea Tanzania ya viwanda, natoa rai kwa watu wa hizi ofisi wabadilike sana saaaana.

Ni hayo tu.

J3 njema.
 
Vipi mkuu file limestack huko nini?

Maana usiombe ikufike, bank washatubali uchukue mzigo halafu unaitisha file wiki halijafika kwa bosi
 
Wale dawa yao ukiona faili linakosa na wanakuzingua wewe ingia ofisi zote za halmashauri ukijidai kulitafuta utaona wanavyokuwa wadogo na viuso vyao vilivyojaa mikorogo.
 
Wale dawa yao ukiona faili linakosa na wanakuzingua wewe ingia ofisi zote za halmashauri ukijidai kulitafuta utaona wanavyokuwa wadogo na viuso vyao vilivyojaa mikorogo.
Ofisi zote Mkuu....??? Yaani tuseme kada yako ni ya Afya faili lako unalitafuta ofisi ya Ujenzi, Maliasili, M.Jamii...nk utaonekana kituko.
Nashauri ukiona masijala wanazingua unaenda kwanza kwa Mkuu wao ambaye ni Afisa Utumishi akusaidie asipotoa msaada unaenda kwa Mkurugenzi
 
Kwanini masijala ziendelee kuwa manual?
Wenzetu walisha achana na mambo ya kukimbizana na mafaili

Rushwa na ufisadi unastawi kwenye mazingira hayo, dharura, uzalendo wa uongo n.k.
 
Hasa serikalini masjala zao sijui za kazi gani maana hata kutafuta mafile hawawezi. Nilishawawashia moto halmashauri fulani hivi walichelewesha barua ya kuapprove malipo niliwatolea nyongo mpaka wakaomba msamaha wamama watu wazima
 
Tunawaona kama watu wadogo ila wanaweza kuharibu maisha yako kwa kuondoa baadhi ya nyaraka muhimu kwenya jalada lako
 
Sijasema automatic nimesema ziwe digital ili kurahisisha usafirishaji, utafutaji etc
Wameshajikatia tamaa mkuu hao watu. Niliwafundisha baadhi tulikua nao kwenye mradi. Baada ya siku kadhaa naenda kutafuta file hawalioni na hawana jinsi ya kujua lilipo
 
Hasa serikalini masjala zao sijui za kazi gani maana hata kutafuta mafile hawawezi. Nilishawawashia moto halmashauri fulani hivi walichelewesha barua ya kuapprove malipo niliwatolea nyongo mpaka wakaomba msamaha wamama watu wazima
Kuna vijitabia fulani wengi wao wanavyo, halafu ni kama wameambukizana vile, kuna baadhi wamewazoesha kuwapa chochote kitu ili kuwaharakishia huduma, wanaelewa kabisa file liko wapi kwa muda huo lakini unazungushwa kama pia.
 
Salaam wandugu,

Naandika uzi huu kutoa dukuduku langu juu ya ofisi na watumishi wa masijala popote hapa nchini. Hizi ofisi zimekuwa na watu wasumbufu sana, wasiojali muda wa mtu na wanapenda kunyenyekewa!

Katika kuelekea Tanzania ya viwanda, natoa rai kwa watu wa hizi ofisi wabadilike sana saaaana.

Ni hayo tu.

J3 njema.
Haya ndio madhara ya kuwapachika watu ambao sio professionals, ili kuziba gap..

Ofisi nyingi hasa za serikali wanawaweka masijala watu ambao sio professional wakidhani ni kazi rahisi tu bila kujua madhara yk.

Matokeo yake ndio km haya malalamiko mengi na kazi nyingi zinasimama maana waliopo kwenye hizo Ofisi hawajui nini maana ya kazi zao.
 
Salaam wandugu,

Naandika uzi huu kutoa dukuduku langu juu ya ofisi na watumishi wa masijala popote hapa nchini. Hizi ofisi zimekuwa na watu wasumbufu sana, wasiojali muda wa mtu na wanapenda kunyenyekewa!

Katika kuelekea Tanzania ya viwanda, natoa rai kwa watu wa hizi ofisi wabadilike sana saaaana.

Ni hayo tu.

J3 njema.
WAPUUZI SANA HAO WATU, Wamakuangalia kama picha ya rais
 
Ukifika dirishani usimsalimie sema kimechokupeleka tu
Aiseee huyu wa huku kwetu ukifika hapo dirishani anakuangalia kama nyauuu pori na lile li uso lake bayaaa huwa ananikera hana ushirikiano amenuna salam haitikii jaman
 
Na usiombe uwe unafwatilia kitu lets say manispaa ya Ilala ...maana stesheni kwa mkurugenzi..mnazi mmoja kwa dmo..karume sjui kwa nani..ustawi ipo kwingine.
 
Back
Top Bottom