Noted mkuu Well and Good. Waite na wadau wengine
Muda wa kazi ni saa ngap mpk saa ngap?
Lakini ameweka na vigezo sio kila graduate anahitajika hapo kakaMkuu safi sana.
lakini kama unavyojua,Graduates wengi kujitolea ndio issue kwa hapa kwetu,Kulalamika kwingiii.
Hapa kesho utaona mtu ana post nina degree na kazi sina.
Ukimuambia kujitolea kama hivyo kwanza ndio anaanza ku judge kwanini afanye kazi bure.
Na ndio maana hata hawa wazungu wanakuja mashuleni na mahospitalini lengo ni kutafuta uzoefu na kuinua CV zao.
Hapa kwetu ni janga.
Hope utapata kwa wenye uelewa na pia Idea nzuri,maana 10,000 ni pesa nyingi sana,maana wengine hawalipi kabisaaa
deadline lini???
Me am very ready, kiukweli nahitaji experience, ningependa kujoin ua office... Let me send u my CV
salaam wadau wa jukwaa hili na wanajf kwa ujumla.
Kuna ofisi ndogo iko ktk mchakato wa kuanzishwa maeneo ya sinza dar ya kutolea huduma hasa ushauri wa mambo ya afya n.k
anahitajika volunteer mmoja mwenye ujuzi na elimu yeyote kati ya hizi: Biashara, marketing, customer care and front office management, secretarial, hotel management.
Kwa sasa ofisi hii mpya na haina uwezo wa kuajiri ila mtu aweza kufanya part time on volunteer basis na ofisi iko tayari kulipa at least nauli ya sh 10,000/- per day at most kwa miezi 3 kuanzia jan 2015.
Kama una ndugu au rafiki au jamaa mwenye nafasi tafadhali awasiliane nami kupitia barua pepe mtzhalisi02@gmail.com ikiwa ni pamoja na kutuma cv yake
asanteni sana