maono mazuri sana ila mzee wengine kama wanatega vile mkiwa pamoja anakulalialalia kifuani hapo sasa unafanya nini?/ utaendelea na pasi fupi ama ni mashuti tu ya magoli kwa mipira mirefu
Mbona umeiweka kama vile wanaume ndio wafanyaji na wanawake wanafanyiwa tu?! Kumbuka huu ni mpira wa wote na kila mchezaji anataka awe mchezaji bora so kuingia uwanjani na guideline yako alokukabidhi Maximo bila kumshirikisha/ collaborate na mwenzako ni wazi kuwa utaendelea kuotea!