Mkuu, unasema Madrid apige penetration pass? Barca alichemka hapo kwa hiyo style, tena Barca akiwa na manguli wa kudribble akina Messi na Neymar na hawakufua dafu.
Njia pekee ya kumuokoa Madrid ni Counter, PERIOD. Labda yatokee makosa madogo madogo ya hapa na pale yatakayofanywa na Juve ila sio kwa kupiga pass za kupenyeza. Hata hizo Counter sio mipira ya juu.
ACHANA NA VILE VIUMBE MKUU.
Juventus wangekuwa na mtu kama Lewandoski au Vidal hii Game wala tusingesubiri dakika 90 kujua nani anabeba kombe.
Sioni Madrid akipata goli kwa namna yoyote mbele ya Juventus, wale watu wanajua ni nini wanachokifanya uwanjani hususani linapokuja suala la kukaba.
Zile zilikuwa ni tambo tu Mkuu, achana na Messi akiwa on form, achana na huyu mtu kabisa. Ni rahisi hata Navas kushinda au Kroos kufunga ila sio Ronaldo au Bale.Huyo barzaghli ndo nuksi mkuu,yule kocha wao Juve Allegri alisema baada ya kufanya Sub ya barzaghli kuingia kipindi cha pili...kwenye match yao ya 2nd Leg against Barca...ALIJUA WAZI ATA WANGEINGIZWA WAKINA MESSI SITA KUTOKEA BENCHI WASINGESHINDA ILE MATCH...Nilichekaga sana, Dah!...yani Juve kwenye Defence sio wakisport sport kabisa asee.
Mbappe mshirikina yule, usikute aliingia na hirizi uwanjani akaificha kwenye kiatu.Lakini hutoamini mkuu REAL Atabeba hili Taji lake la 12...Juve watafungika tu...mie nachowafahamu Madrid kwenye games kubwa kama hizi huwa hawanaga upuuzi hata punje, ILISEMEKANA JUVE NI MFUPA ULIOMSHINDA FISI(BARCELONA)...JE MBWA(MONACO) ANGEUWEZA???...Lakini Huo msemo yule Mbappe akaufutilia mbali na kumfunga Buffon goli dakika ya 69...Wakati watu wazima BARCA mlishindwa kupata goli ata la kusingiziwa kwa DAKIKA 180!
...Hivyo kwa kilichowakuta nyie BARCA Sidhani kama ndicho kitakachomkuta REAL...Me nachojua mpira hubadilika mkuu.
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha!Na yule kipa wa madrid mtemaji amtemee higuain au dyibala
Binafsi siangalii historia ila natazama facts, Juve anaenda kubeba hii ndoo.Kwa wale wa historia wanaamini Juve atamfunga Madrid kiulaini tu.
Tukiachana na historia Mimi naamn ushindi mnono tu utaenda kwa Juve na si Madrid.
Mbappe mshirikina yule, usikute aliingia na hirizi uwanjani akaificha kwenye kiatu.
Sijui ni mimi tu, lakini fainali hii ya mwaka huu imekuwa na msisimuko wa aina yake, naifananisha na ile ya mwaka 2008 Man Utd vs Chelsea.
All in all, atakayekuwa kuwa mjanja wa kumsoma mwenzake vizuri ndiye atakaye shinda.
Madrid wana washambuliaji wazuri kama Monaco? Halafu Mkuu kumbuka Juventus aliingia pale akiwa na ushindi wa kujihami wa bao 2.Hahaha!...Wanamwita KYLIAN MMBAPPE-LOTTIN...ile Siku nilifurah jinsi yule kinda alivyowafanya CHIELLIN NA BONUCCI Wajinga kwa muda kidogo, Manake Chiellin alishika nguzo ya goli akimkodolea macho Buffon....ila weakness nyingine ya Juve niliyoigundua ni kuwa WALE JAMAA UKIWAPELEKEA MASHAMBULIZI YA KUFORCE NONSTOP UPEPO WAO UNAKATA...Na uzuri Wa Monaco hawakati tamaa wale vijana walilazimisha Hadi bibi kizee akawapa walichotaka...ila naweza nikadiriki kusema Monaco ni moja ya timu yenye washumbuliaji wazuri...sema tu Juve wana ukuta imara ...lakini lile goli kama wangelipata dakika za 40's hiviii....wangeweza kurudisha mabao mengine kwa namna walivyoongeza kasi ya mashambulizi mwishoni.
Hahaha!...Wanamwita KYLIAN MMBAPPE-LOTTIN...ile Siku nilifurah jinsi yule kinda alivyowafanya CHIELLIN NA BONUCCI Wajinga kwa muda kidogo, Manake Chiellin alishika nguzo ya goli akimkodolea macho Buffon....ila weakness nyingine ya Juve niliyoigundua ni kuwa WALE JAMAA UKIWAPELEKEA MASHAMBULIZI YA KUFORCE NONSTOP UPEPO WAO UNAKATA...Na uzuri Wa Monaco hawakati tamaa wale vijana walilazimisha Hadi bibi kizee akawapa walichotaka...ila naweza nikadiriki kusema Monaco ni moja ya timu yenye washumbuliaji wazuri...sema tu Juve wana ukuta imara ...lakini lile goli kama wangelipata dakika za 40's hiviii....wangeweza kurudisha mabao mengine kwa namna walivyoongeza kasi ya mashambulizi mwishoni.
Lakini hutoamini mkuu REAL Atabeba hili Taji lake la 12...Juve watafungika tu...mie nachowafahamu Madrid kwenye games kubwa kama hizi huwa hawanaga upuuzi hata punje, ILISEMEKANA JUVE NI MFUPA ULIOMSHINDA FISI(BARCELONA)...JE MBWA(MONACO) ANGEUWEZA???...Lakini Huo msemo yule Mbappe akaufutilia mbali na kumfunga Buffon goli dakika ya 69...Wakati watu wazima BARCA mlishindwa kupata goli ata la kusingiziwa kwa DAKIKA 180!
...Hivyo kwa kilichowakuta nyie BARCA Sidhani kama ndicho kitakachomkuta REAL...Me nachojua mpira hubadilika mkuu.