Naona Mama Nancy Pelosi anampeleka Kibra mzee wa kujimwambafyKwa kweli Trump akiondolewa madarakani tutamkumbuka sana. Huyu bwana alikuwa hapendi vita ukilinganisha na Marais waliopita. Shida yake kubwa ni kushindwa kuthibiti ulimi "kuropoka" tu basi.
Hawamuwezi. Watakwama kwenye sanate
Kwan Jacob Zuma Alikua Mtawala Wataifa Gani pale EUROPEKitu pekee ambacho ni ndoto kufanyika Africa