heshima mbele wakuu,
Em naombeni mwenye nayo iyo App aitupie hapa jamani, nimetafuta ku'update OfficeSuite+5 App. iliyokuja pre'installed kwenya Android Tab yangu ikani'prompt kwanza kulipia $14 hapo mzee mzima nikajikuta nimechoka akili na mwili kabsaa ....!
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwa msaada wenu.