mimi sina tatizo hio office shida na dhumuni langu ni kwamba mkuu wao aone naTAKUKURU waone ili waanze kuwaonya na kuwakumbusha majukumu yao katika Taifa kwamba wao ndio hope na msaada kwa Raisi waache kuchukua vijihela kama wameona makosa ya upigaji wasaidie serikali pesa zitakazokua zimepigwa zirudishwe badala ya kukaa kiti kimoja na wahusika na ku negotiate mtatupa sh ngapi tupute hii hoja halafu wanaandika hoja nyepesi ambazo hazina mashiko basi gemu limeisha