Office for rent | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Office for rent

Discussion in 'Matangazo madogo' started by FOEL, Feb 7, 2012.

 1. F

  FOEL Senior Member

  #1
  Feb 7, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 141
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wakuu, heshima mbele sana.

  We are looking for an office of 1 or 2 rooms kwa matumizi ya ofisi, hata kama ni ya kuchangia na wengine tuko tayari pia ku changia.

  Iwe maeneo ya Ada Estate, Oysterbay, Masaki, Msasani, Namanga, Block 41, mikocheni A or Mikocheni B.

  Asanteni na Mungu mwenyezi awabariki sana.
   
 2. S

  SundayK New Member

  #2
  Feb 7, 2012
  Joined: Feb 6, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yaani hata sisi tunatafuta ofc maeneo hayo ila sasa kila tunapoenda wanatupatia rate za mambo ya per squar metre tena rate za USD mpaka tunatafuta nyumba tuu tuipange
   
 3. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #3
  Feb 7, 2012
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,948
  Likes Received: 1,505
  Trophy Points: 280
  mambo ya per square meter kwa USD imekuwa ni wizi wa mchana wa wenye majengo ,matokeo yake h\t\ vile vitambaa vya matangazo vimepauka,pale Kawe kwenye corner ya kwenda Msasani Beach Club ukumbi wa Jeshi kuna jengo la Mzee Kilewo panaitwa Knet kuna tangazo la kupangisha ofisi ila sijui terms zake,pia Sinza Mapambano kwa Mwanamboka pia kuna bango la upangishaji ofisi waweza check hapo.Kama alivyosema mdau aheri kupanga nyumba maeneo ya Mbezi beach au Kinondoni inakuwa nafuu kiasi,msione watu wanatumia briefcase office ,yote ni shida ya kupata ofisi kulingana na uwezo wa kijikampuni
   
 4. F

  FOEL Senior Member

  #4
  Feb 8, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 141
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Asante kwa mchango wako mkuu.

  Kama utasikia sehemu yoyote maeneo hayo kuna ofisi ya 1 or 2 rooms naomba unijulishe mkuu.

  Kazi njema, natumai tutafanikiwa tu.
   
 5. F

  FOEL Senior Member

  #5
  Feb 8, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 141
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mfianchi mkuu wangu, heshima mbele sana.

  Asante kwa mchango wako, tutaenda kwenye hizo office haraka iwezekanavyo ili tuone mchakato mzima.

  Kazi njema mkuu
   
 6. F

  FOEL Senior Member

  #6
  Feb 10, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 141
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wakuu naona kimya, tusaidiane wakuu.

  Hizi ndiyo changamoto za ujasiliamali.

  Thanks
   
Loading...