Nitakupigia mkuu lakini nipe hint kidogo! Nahitaji Corei7, gen 7 (sio mbaya ukinitajia naprice ya hiyo gen 10, labda naweza kufumba macho au nikajitafuta zaidi). Aidha, RAM iwe 16 (kama zipo za 32, pia nitajie bei yake). Processor from 3, na graphic card iwe 1GB (itakuwa poa kama utanitajia na bei ya 2GB).
Halafu nilisahau kuweka wazi ingawaje kwenye post nyingine niliweka! Ninachohitaji sio laptop bali Desktop. Screen size 21, preferred 4K (kama zipo za 27'', plz let me know the price).