Offer ya domain za. Com

ngoja tuingie kazini kutest security yenu..... pentesting . .
 
Hawa wajanja wajanja tu. Domain zote zinazotoka tanzania huwa wananunua tzink, na huwa wanauza kwa elf75 hawa wanajisajili ja virtual servers za nchi za nje huko then wana afiliate na kuanza kuuza huku. Hapo reliability haipo maana wazungu wakidimua mda wanaojisikia wenyewe huna cha kuwashtaki. Na pia haipendezi kusajili domain nje ya nchi wakatu tunazo za kwetu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…